NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

What has ccm accomlished from below list of empty words?

AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...

  1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
  2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
  3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
  4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
  5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
  6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
  7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
  8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
  9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
  10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
  11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
  13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
  14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
  15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
  16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
  17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
  19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
  20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
  21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
  22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
  23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
  24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
  25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
  27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
  28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
  29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
  30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
  31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
  32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
  33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
  34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
  35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
  36. Kulinda haki za walemavu - Makete
  37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
  38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
  39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
  41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
  42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
  43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
  44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
  46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
  47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
  48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
  49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
  50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
  51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
  52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
  53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
  54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
  55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
  56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
  57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
  58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
  60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
  61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
  62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
  63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
  64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
  65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
  67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
  68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
  69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha



nachingwea1.jpg


kasege.jpg


 
Sasa ni CHAMA GANI cha UPINZANI kilichomuua Mwandishi wa HABARI MWANGOSI? yeye hakutolewa Makucha la hasha alibomolewa MWILI MZIMA... Kama Unajua MENGI kwanini usitusaidie ya MWANGOSI? kwasababu tumepoteza NDUGU yetu na ni shida hata kulea watoto na familia yake...

Tutafurahi Haswa kama kweli utatuma Huyo aliyetoa HIYO AMRI ya MAUAJI hayo na ni WA CHAMA GANI...

NA MUNGU atazidi kukupa BARAKA upate neema na UTAJIRI...
 



Sasa ni CHAMA GANI cha UPINZANI kilichomuua Mwandishi wa HABARI MWANGOSI? yeye hakutolewa Makucha la hasha alibomolewa MWILI MZIMA... Kama Unajua MENGI kwanini usitusaidie ya MWANGOSI? kwasababu tumepoteza NDUGU yetu na ni shida hata kulea watoto na familia yake...

Tutafurahi Haswa kama kweli utatuma Huyo aliyetoa HIYO AMRI ya MAUAJI hayo na ni WA CHAMA GANI...

NA MUNGU atazidi kukupa BARAKA upate neema na UTAJIRI...
Unajua nani aliitisha yale maandamano yasiyo na kibali na kuchochea?
Je huyo aliesababisha hayo machafuko alikwenda kwenye hizo vurugu?
Unajua aliniambia nini nilipomuuliza kuhusu hilo tukio?
Ukiishapata hayo majibu nazani utakuwa wa kwanza kukataa kutumiwa kama msukule. (kuna mtu humu anaitwa Ze macropolo anaweza kukusaidia kujibu swali la kwanza na lapili, la tatu nitakujibu mwenyewe)
 
Vijana wengi wameshaanza kutambua.


Yeah kuna pesa za bure ndani ya CCM; angalia MWAMPAMBA na Mwenzake hawana kazi Wanashamiri Wanasafirishwa kila kona wanalipwa PerDem za walala hoi wa NCHI hii Wanapaswa kuwa Waalimu na kulipa Majukumu yao MKOPO wa SHULE @ UDSM lakini hapana... Wanatukana CHAMA PINZANI ni sawa kutolipa MADENI... kweli kuna USAWA HAPO? Waangalie wanakaa Wanakunywa na Kuangalia TV wakati watoto wa Walala hoi hata hiyo Sare ya SHULE ni SHIDA kuipata ni SHULE ya KATA serikali ya CCM imejenga na kulazimisha waende hao watoto...


20988_353448711425875_588088391_n.jpg


Angalia JINA walilojichagulia "
Mtela Mwampamba
The dream team. Juliana wa ccm,Festo sanga na Habibu Mchange kikaoni muda huu."


559820_637984786226936_425360243_n.jpg

Picha hapo JUU ni Kijana anayehitaji SHULE; ana imani kuwa Taifa lake litampatia Maisha BORA; Kina MTELA MWAMBAPA na DREAM TEAM wamepata MIKOPO wamekuwa Waalimu; Baada ya kujiunga na CCM; Wameikimbia Kazi ya kufundisha hawa VIJANA na pia kugoma kulipa MIKOPO kwahiyo - This BOY's DREAM is GONE... JUST GONE... the SUNSET no HOPE

What can he say about his LIFE NOW???

Never blame anyone in your life.
Good people give you happiness.
Bad people give you Experiences.
Worst people give you a Lesson.
& Best people give you Memories...
 
nngu007 umenikumbusha jinsi Dr. Slaa alivyomshawishi Ludovick aache kazi ya kufundisha na kuja chadema makao makuu kusaidia shughuli za idara ya usalama.
 
Last edited by a moderator:
Unajua nani aliitisha yale maandamano yasiyo na kibali na kuchochea?
Je huyo aliesababisha hayo machafuko alikwenda kwenye hizo vurugu?
Unajua aliniambia nini nilipomuuliza kuhusu hilo tukio?
Ukiishapata hayo majibu nazani utakuwa wa kwanza kukataa kutumiwa kama msukule. (kuna mtu humu anaitwa Ze macropolo anaweza kukusaidia kujibu swali la kwanza na lapili, la tatu nitakujibu mwenyewe)

Ni nani HUYO? Na Unajua kama Wangepewa KIBALI bado wangefanya na kuchochea VURUGU? Kwasababu fighting for JUSTINCE and EQUALITY sio lele Mama... Nadhani Unahadithiwa Utawala wa Maggie ulivyokuwa... na aliua all the NORTHERN INDUSTRIES up to now UK is never the same... ni sawa na kusema wakati wa Utawala wa BEN MKAPA alipouza NYUMBA zote za serikali na Viwanda vyote vya Dar; Viwanda hivyo strategically vilikuwa LABOR intensive for a reason... i.e SUNGURATEX; URAFIKI; UBUNGO GARMENTS; KILTEX n.k hivyo viwanda viliajiri family and family generations Dar... unakuta Babu na Mjukuu na Bibi wote wako kiwanda kimoja... working OK PAY wanaweza kuwa na nyumba; Maisha Mazuri Unamaliza Darasa la saba tu; Kazi ipo retirements it was good Economical CIRCLE...

Sasa Rais MKAPA haangalii MBELE anakuja anarusha kushoto na kulia... Sasa wazee hawana kazi watoto wanamaliza shule hakuna kazi na unajua ni Dar na wengi wanaishi Dar ni VIJANA wa kiislam... hakuna CHAKULA MEZANI lazima uoe lazima uwe na kwako hard... the circle now goes other way round...

Ndio haya tuliyonayo... Serikali inakuwa ya kidikteta... kila kitu ikiona chama cha upinzani inataka kufanya wanapata PRESHA na kusema wanataka kubomoa nchi... wakati ULE ni CUF... walikuwa wanaiogopa CUF; the same way as now you are talking about CHADEMA...

KAA CHINI fikiria... ANgalia ya Maggie na ya kwetu sasa... the biggest culpit is damn ECONOMY... is draining US...
 
Hayo ndio matokeo ya malaria lkipanda kichwani. Mtoa mada umesamehewa bure. Kumbuka kujifunika net. homa uliyo nayo itakumaliza.
 
Kweli mjomba wanatisha

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huyu mleta uzi ni mbulula, atakuwa ni muuaji mwinguru mchemba kaja na ID fake kama walivyozoea kufeki kila kitu, kucha na meno mung'oe watu nyie then msingizie chadema.mtaipaka chadema matope ila wananchi tumeamka pumbavu zenu, shenzi , wajinga wakubwa nyie manyinyiem
 
Haya ndio wewe na kundi lako mnayoweza kujadili,wakati wenye akili wanajadili kuhusu kuuzwa nchi kule loliondo wewe na wapuuzi wenzio mnakuja na thread ya kijinga,nataka kujua hivi hamnaga uchungu na hii nchi wenzetu?au mnafaidika na ufisadi kiasi kwamba hamuoni?Shame on you
 
Kweli Tawala anajitahidi ku-Devide And Rule

Ona sasa NCCR wamesahau adui yao ni nani wanalia na CHADEMA.

Mleta Mada nikuulize tu, Lengo la Hii Thread ni nini? Nipe japo sababu tatu kubwa (Tafadhali yasiwe maswali wala matusi).
 
Chilisosi, ama wewe ni muuza mihadarati unajikomba au ni shoga. Mtu timamu hawezi anzisha uzi wa uharo kama huu! Mtahangaika sana, na hamtung'oi wala kututenga na cdm yetu. Dr slaa ni zaidi ya yote.
 
There are some people who are walking dead...yes Chris Lukos aka Chilosis has stopped thinking....he writes without meditating..emotions dominate his sayings...he usually produces what comes uppermost and therefore concludes his imaginations as the reality...this suits himself.
 
Nakubaliana na wewe! NCCR hawakuwa wamefikia kuwa tishio la CCM kama CDM hivyo kina Ighondu na kampuni yao hawakuona umuhimu wa kufanya hayo uliyoyasema. Hapakuwa na haja ya kina Mwigulu na kampuni yao kubuni mikakati ya video kama walivyofanya kwa Lwakatare. Pamoja ni misukoko ya Polisi wakati ule kwa Mrema lakini hawakuua wanahabari kama walivyomuua Mwangosi. Haikupata kuonekana mambo haya hadi CDM ilipofikia kiwango hiki cha kuwa kinaelekea kuchukua hatamu za kuingoza Tz mpya! Nakuunga mkono! CHADEMA kinapigwa vita!
 
Back
Top Bottom