NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

Sawasawa hakuna tofauti kati ya Magamba na nyie, nyote mnafadhiliwa na mabeberu wa Ulaya.
Halafu behave kama great thinker, jenga hoja badala ya kuita wenzio wamekufa au wanaishi kaburini.

Jifunze kuelewa....kuitwa uko kaburini hiyo ni lugha ya nahau (idioms) yaani hauko aware na kile kinachozungumziwa mathalani kwa kutokuwa informed!
Kufadhiliwa na mabeberu ni kitu ambacho hakiepukiki ila kutoendeshwa na mabeberu ni kitu kinachowezekana...
China wamefika hapo kwa kufadhiliwa na mabeberu....na South Africa wamefika hapo kwa kufadhiliwa na mabeberu ila wamewakaba katika mikataba kwa sababu wanajitambua....
Tanzania ndio shamba la bibi kutokana na uongozi dhaifu wa chama cha mapinduzi...
Bila CCM kushindwa hamtakuja kupata CCM iliyojichuja vyema....mabadiliko should come....
Wote waliozaliwa na wazazi the same,hawana mawazo sawa!
 
Hapa vinazungumziwa vyama vitatu

  1. Chama cha UTU, yaani NCCR waanzilishi wa mageuzi nchini Tanzania!
  2. Chama cha Mafisadi ambacho jina lake ni ......
  3. Chama cha Magaidi ambacho kinaitwa ..........
Ifikapo 2015 watanzania watapiga kura kwa kuzingatia ukweli huu.
 
Endeleeni kufadhiliwa. Leteni pia maelezo ya jinsi gani mtalipa hizo fadhila.
Eleza pia mtakavyolipa fadhila za Sabodo
 
CCM itashinda kwa kishindo 2015 ikifuatiwa na NCCR mageuzi halafu wagombea binafsi, TLP then Chadema na wengineo
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa

Unataka tukuwekee? changanya na kinyesi chako itakuwa iko kamili gado!
 
Mkuu kwani huwa siendi kwetu?
Tatizo nyie vijana hamjui hata utamu wa matapu tapu NA FAIDA ZAKE.
Taps bomba sana tatizo ni harufu tu ukienda kujisaidia

Nimeuliza kwa sababu hukusema kuwa ukiwa nyumbani....pia ni kweli sijui utamu wa mataputapu kwa sababu situmii pombe either local or industrial!
 
CCM itashinda kwa kishindo 2015 ikifuatiwa na NCCR mageuzi halafu wagombea binafsi, TLP then Chadema na wengineo

Mafisadi wakishinda, watakuwa wamefanya ufisadi kama kawaida yao
 
CCM itashinda kwa kishindo 2015 ikifuatiwa na NCCR mageuzi halafu wagombea binafsi, TLP then Chadema na wengineo

Uhuru maana yake nini??? kuna mtoto mmoja alijibu kuburudika (katika tangazo la zain kipindi hicho)
Mie naongezea uhuru wa kuongea...maana yake ni kuropoka...
Kwa sababu you make your arguments from imagination...wakati trend ya CHADEMA inaonekana ndio inapambana na CCM mpaka ngazi za vijiji kwa sasa.....
 
Nimeuliza kwa sababu hukusema kuwa ukiwa nyumbani....pia ni kweli sijui utamu wa mataputapu kwa sababu situmii pombe either local or industrial!
Kama hunywi ni bora usinywe mkuu,
Mie nakunywa pombe za aina zote hasa matapu tapu
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa
Chilisosi
Lady Jayde aliimba kuwa husiusee moyo wa mwenzio....kwa hali ilivyo hapa tz CDM imeingia ktk mioyo ya watu kwa kiwango kikubwa na itakuwa vigumu kuondoa ushawishi wa CDM kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Endeleeni kufadhiliwa. Leteni pia maelezo ya jinsi gani mtalipa hizo fadhila.
Eleza pia mtakavyolipa fadhila za Sabodo

Nani alikuambia fadhila ni deni....??? Ulishawahi kutoa sadaka??? mie nimechangia fedha nyingi tu katika M4C na wala sihitaji kulipwa...
Dont think the same as those who do not think at their infinity!
 
wewe tu huitaji kulipwa. Nenda hapo makao makuu ya chama chenu, uliza kiasi gani cha pesa ya ruzuku kinarejesha michango ya waheshimiwa hususan iliyotolewa 2010.
 
Kweli huyu jamaa ni kichaa, Dr. Paurine anamjua vizuri hakusema uwongo.
 
Kama hunywi ni bora usinywe mkuu,
Mie nakunywa pombe za aina zote hasa matapu tapu

Yeah..wewe kunywa tu kwa raha zako!
Na kwenye kampeni wanunulie wazee mapipa kibao yasambaze gangilonga,kihesa,mlandege,kihodombi,mkimbizi,ilala,ngome,mtwivila,TRM n.k
 
wewe tu huitaji kulipwa. Nenda hapo makao makuu ya chama chenu, uliza kiasi gani cha pesa ya ruzuku kinarejesha michango ya waheshimiwa hususan iliyotolewa 2010.

Sasa kama wanarejeshewa fedha zao na unajua...mbona unauliza watalipwa vipi???
Wewe tatizo lako ni kupata fursa sawa,kuona utawala wa haki na sheria,kuona serikali inayoshirikiana na wanachi,kutumia rasilimali kunufaisha wazawa....au kulipwa kwa mabeberu????
 
waliorejeshewa ni wa ndani kwa ndani. Ufadhili wa magamba na wa mabeberu bado hamjaanza kulipa. Usiku mwema.
 
Yeah..wewe kunywa tu kwa raha zako!
Na kwenye kampeni wanunulie wazee mapipa kibao yasambaze gangilonga,kihesa,mlandege,kihodombi,mkimbizi,ilala,ngome,mtwivila,TRM n.k
Mkuu, siasa za kugawa pombe upate kura zimepitwa na wakati.
Mimi sina shida na siasa uchwara, Mimi nataka wananchi wanichague baada ya kuwaonyesha what I can do for my Mother land , mie siendi kufuata shangingi ,hizo hela za kunua shangingi moja kama la msigwa zinaweza kununua ambulance kumi au magari ya kuzoa taka ishirini
 
Back
Top Bottom