Hakuna chama cha upinzani cha kweli Tanzania wala democrasia ya kweli nchi hii bila CCM kufa kwanza.Take my word!sikubaliani nawe na hasa unaposema kufa kwa chadema ndio mwisho wa multipartism bcouse historia ya vyama vingi Tanzania wala haitufunfishi hivyo, ilikua NCCR na ilivyokufa CUF ikaibuka nayo iliposinyaa CHADEMA ikasimama hivyo kufa kwa CHADEMA lazima kiibue chama kingine kitakachokuwa na nguvu