NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa

Lukosi, you need to consult your GP.
 
Hama mabondeni wewe masika zimeanza mafuriko yatakubeba....
A%20S%2039.gif
 
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama chadema
NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
Maandamano ya NCCR huwa ya amani
NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.
Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati Chadema walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.
Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa
NCCR ilishakufaga long time enzi za Mrema na Lamwai, tena ilifika Tanga kwenye mkutano wa halmashauri kuu yake.
 
Chama kikuu cha upinzani ni NCCR Mageuzi huo ndiyo ukweli majibu yatapatikana 2015.
Jamaa wanaongozwa na kiongozi makini sana ambaye hayuko pale kupiga deal.
Ukiniuliza leo ni chama gani cha upinzani ambacho kinaweza kukabidhiwa dola kwa amani na utulivu ni NCCR mageuzi, hawa wengine hamna kitu
 
Itikadi ya NCCR ni UTU
Itikadi ya CDM ni Mrengo wa Kati (japo walianza na UBEPARI)
Itikadi ya CCM ni UJAMAA (kiuongouongo)
Itikadi ya CUF ni ULIBERALI
Hata wananchi wakipiga kura kwa kufuata itikadi tu ifikapo 2015, kura nyingi zaidi zitaenda NCCR.
 
NCCR ndio kikundi cha ngoma gani? Huwezi kuifananisha CHADEMA na chama chochote dunian labda kidogo Republic ya America.
 
so bad ven to tell....... ni kichef chef tu.....!waswahili wanasema bata hata umpe kokoto haach kuarisha.... u are doin the same... u want us to think of mints for diamond? suckeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!
 
:dizzy: Toa jibu sahihi kwani ukisema ana mihadarati akilini itakuwa wewe ndio mwenye ufinyu!
 
:dizzy: Kwa kweli inatisha sana kwa jinsi baadhi ya wanachama wa Chadema wanavyochangia hoja hapa jf. Onyesheni angalau
mnaweza kuwa viongozi wa 2015! Majibu yenu yanakatisha tamaa na kuidhalilisha Chadema. So childish to be trusted a whole country. Hayo uliyo andika yana uhusiano gani na hoja ya jamaa? Onyesha maturerity kidogo basi.
 
Kama ni hivyo, basi washauri ndugu zako CCM waache kudili na CDM, hizo clip za kuchonga wawatengenezee NCCR Mageuzi, ndio nitaamini kweli ni makini kuliko CHADEMA.
Nimefuatilia kwa ukaribu na kugundua kuwa NCCR mageuzi ndio chama pekee kinachoweza kukabiliana na chama dume CCM bila kuweweseka kama CHADEMA.

1. NCCR hawawatumii wananchi kufanya vurugu wapate umaarufu
2. Maandamano ya NCCR huwa ya amani
3. NCCR ni chama cha watu sio mtu mmoja.

Mpaka sasa kutoka upinzani ni Mbatia pekee(mwenyekiti wa NCCR ) aliefika kwenye tukio la ghorofa kuanguka Dar wakati CHADEMA walikuwa wanapiga kili baridi wakisubiri kutoa tamko.

Mengine naomba mniwekee wenyewe hapa.
 
We nduka ni bogus kweli kweli, kama huna akili azima ya mwenzio. Tunamkubali mbatia, ni maeneo mangapi mbowe, dr.slaa wameshiriki na mbatia hakushiriki? Je kushiriki kwenye tukio tikio lile ndio kigezo cha ubora wa kiongozi? Ndio maana na kuambia wewe ni mjinga na janga la taifa kwa kuwa ni myopic
 
Nimepitia kumbu kumbu zangu za vyama vya upinzani nchini na kujikumbusha kuwa NCCR mageuzi walikuwa na nguvu sana miaka ya tisini wakati mheshimiwa Mrema alipohama CCM.

Tukumbuke kipindi kile mfumo wa vyama vingi ndio ulikuwa unaanza nchini lakini Mrema aliweza kujizolea umati mkubwa wa wafuasi na mimi nikiwa mmoja wao. Lakini pamoja na wafuasi wote aliokuwa nao Mheshimiwa Mrema sikuwahi kusikia mtu akilalamika kung'olewa kucha bila ganzi au kusikia vijana wakitembea na sumu mfukoni.

Lakini leo Jamaa zangu wa Chadema ambao ndio chama kikuu cha upinzani kila kukicha ni lazima usikie sarakasi za mauza uza tu.

Mara utasikia kuna kijana anatembea na sumu mfukoni katumwa na nani sijui
Mara utasikia kuna video imenaswa mkurugenzi wa Chadema anapanga mauaji na ung'oaji wa kucha
Mara utasikia wanatangaza kuwa watasimamisha nchi nzima kwa maandamano bila kibali
Na mengine meengi ambayo sasa naona hata wanachama wao wenyewe wameisha anza kuwachoka.

Hiki Chama kimekosa mwelekeo kwani wao njia pekee ya kupata attention ya wananchi ni kuitisha maandamano, kufanya vurugu na sasa kwa sababu wameona wanachi wamechoka na maandamano wameanza kunyofoa watu kucha kama tulivyoona kwenye ile video ya Lwakatare.

Nakaa najiuliza,
Hivi chadema wameshindwa kuwaambia wananchi watawafanyia nini ili wachaguliwe?

Hakuna njia nyingine za busara na amani za kujipatia umaarufu zaidi ya kusababisha uvunjifu wa amani na kuhatarisha maisha ya watu?

Chadema jaribuni kujifunza kutoka NCCR mageuzi ambao pamoja na migogoro yote waliyokuwa nayo na umaarufu walioupata hatujawahi kusikia wana vijana wanaotembea na sumu mifukoni.

Vijana inabidi mkatae kutumiwa kama misukule, kumbuka ukikamatwa na sumu mfukoni watakukana kama LUDO
Chadema ni kama time bomb, siku likiripuka wengi mtajutia muda wenu mliopoteza kucheza karata tatu
timebomb.jpg

AMKENI
 
Kwa hii ID nakupa benefit of doubt hata ukipost upuuzi gani, sawa tu...ila ile verified jaribu kuikwepesha na mada kama hizi, unawaangusha ndugu zako. Ni hayo tu Chilisosi!
 
Last edited by a moderator:
nakushangaa kwa kukaa na kupoteza mda na kuandika upuuzi huu usio na ushahid huna tofaut na watunzi wa mashahri au hadith fupi
 
Back
Top Bottom