NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

Lukosi si mwele yuko kama Tambwe hiv mara aipende CHADEMA mara CCM mara leo NCCR nahc anatumia turufu ya kula kila alipoona wanapika anataka ale
 
Mla rambi rambi za mwangosi Chris lukosi

Janga kubwa sana kwa taifa.
 
Mwizi na Dhurumati mkubwa wa fedha za wajane Chris Lukosi.......umekuwa mpiga ramli sio.......CCM ndio kitakuwa chama cha upinzani 2015
 
Kwani NCCR lengo lake ni kuwa chama kikuu cha upinzani sio kuwa chama tawala kama malengo ya CDM??? hapo ndo kuungana inakuwa ngumu, utaungana na CUF ambacho malengo yake ni kuwa mshiriki mkuu wa CCM wakati wote???
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!

Pimbi mkubwa.....mwivi wa rambirambi ...... Chris Lukosi.....polisi aliyefukuzwa......kaa kimya huna maadili....!
 
Siasa za chadema ndio hivyo zipo ukingoni, kinapotea. Ni vyema tuanze kujiandaa kisaikolojia kukiunga chama kingine mkono ambacho kitashika hatamu ya kuongoza upinzani nchini na hatimaye kushika dola ya tanzania.
Nccr?
cuf?
chauma?
ADC?
A.C.T?
au the beautiful ones are not yet born...
 
siasa za chadema ndio hivyo zipo ukingoni, kinapotea. Ni vyema tuanze kujiandaa kisaikolojia kukiunga chama kingine mkono ambacho kitashika hatamu ya kuongoza upinzani nchini na hatimaye kushika dola ya tanzania.
Nccr?
Cuf?
Chauma?
Adc?
A.c.t?
Au the beautiful ones are not yet born...

nadhani umeona aibu kutaja hicho kikundi chenu chenye nyota,kinaitwa act,cdm mziki wake nimkubwa hamta uweza,njaa nimbaya sana.
 
nadhani umeona aibu kutaja hicho kikundi chenu chenye nyota,kinaitwa act,cdm mziki wake nimkubwa hamta uweza,njaa nimbaya sana.
Kipi hicho mkuu. Na je huo mziki wa cdm ni upi? Chopa 3 kata 3 au kalenga na chalinze? Hebu tuliza kichwa basi tujadili mambo ya msingi
 
Nadhani "Nyinyiem" mjiandae kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya Cdm kuchukua dola 2015.
 
Chama cha kufa na kusaidiana cha kabila lako bovu miundo mbini duni ndugu zako hoi hawapewi pembejeo ila wanakopwa na serekali watoto wa ndugu zako nawaona kule kijijini na maziro ya form four wana taka boda boda we mwenyewe mbinafs sheme opon U.
 
ACT ndiyo kiboko yao punde tu cheche zitaanza kutoka.
 
Chama cha kufa na kusaidiana cha kabila lako bovu miundo mbini duni ndugu zako hoi hawapewi pembejeo ila wanakopwa na serekali watoto wa ndugu zako nawaona kule kijijini na maziro ya form four wana taka boda boda we mwenyewe mbinafs sheme opon U.
Rudi kwenye mada huko unakwenda wapi we bavicha.
 
Siasa za chadema ndio hivyo zipo ukingoni, kinapotea. Ni vyema tuanze kujiandaa kisaikolojia kukiunga chama kingine mkono ambacho kitashika hatamu ya kuongoza upinzani nchini na hatimaye kushika dola ya tanzania.
Nccr?
cuf?
chauma?
ADC?
A.C.T?
au the beautiful ones are not yet born...
kwa sasa bado chadema ndio chama cha pili hakuna mbadala maana hata palekwenye ngome ya ccm kusipokuwa na maendeleo bado chadema inashika nafasi ya pili,usingetegemea chadema kuchukua nafasi ya pili wakati kuna cuf
 
Siasa za chadema ndio hivyo zipo ukingoni, kinapotea. Ni vyema tuanze kujiandaa kisaikolojia kukiunga chama kingine mkono ambacho kitashika hatamu ya kuongoza upinzani nchini na hatimaye kushika dola ya tanzania.
Nccr?
cuf?
chauma?
ADC?
A.C.T?
au the beautiful ones are not yet born...

Kitakuwa CCM if and only if kama kitakuwa kimetimiza masharti ya usajili wa vyama vya siasa kama sheria inavyoelekeza.
 
Back
Top Bottom