NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

Huyu jamaa post zake za kukurupuka huwa zinaniboa ile mbaya
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!

Ngono zembe ruhusa na vikongwe kuwa na wachumba na viongozi kuwapa ujauzito wabunge na madiwani viti maalumu ruksa
 
Ndugu zanguni, Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii. Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi JITAMBUE!
Yaani unamaana ccm hata upili haitapata?Maana cdm inakwenda kuchukua Dola
 
Lukosi anaitabiria ccm kutonyakua hata upili.Ni kweli ccm inakwenda kusambaratika kwa ugomvi wa mgombea uraisi!!
 
Hajielew ngoja n msahihishe jaman chama kikuu cha upinzan 2015 baada ya uchaguz mkuu kitakuwa CCM
 
Cdm itashika dola Nccr itakua chama kikuu cha Upinzani hilo ni kweli
 
Mtabili mwenzako alisharest in problem, jiandae na wewe lukosi kabla ya 2015.
 
We kilaza nini,? unashauri watu kujiunga na NCCR wakati wewe mwenyewe una kiDUME wako, kajiunge kwanza nccr. BRAINLESS.
 
Wee dogo ni bonge la fallaaa!!!

Yani kenge kabisa...mi nawajua wahehe wana akili...wahehe wa ukweli waliokunywa ulanzi kidogo wakiwa wadogo wanakuwa na akili.

Wewe sijui ulinyewa ukatupwa ruaha ndogo? Ukalelewa kama kambale??!

Such a pumpkin head!!
Hivi bila kutoa matusi huwa mnakosa raha sana?

Mnakiua chama chenu wenyewe kwa kukifanya kioonekane ni mkusanyiko wa mafisi tu
 
Wewe ni Mkuu-undu tu! Labda unazungumza kinyume kwamba Nccr kitakua chama kikuu cha upinzani badala ya Ccm wakati Chadema kitakapo kuwa chama tawala.

Kilipo KANU ya Mzee Jommo Kenyatta ndipo kitakapokwenda CCM ya Mwl Nyerere.
Hizi ndoto zako za mchana utaendelea tu kuota lakini ukweli utabaki palepale.

Chadema hakina mgogoro ila mgogoro upo Ccm kwa kina Lowassa,,Sitta,,Nape,,Msindai na Sumayi nk.

Kinachofanywa na Chadema ni kuwaondoa MAMLUKI mapema na ifikapo mwaka 2015 mambo yatakua shwari,ila kwa upande wa pili (CCM) sijui swala la KUVUA GAMBA ambalo limeshindikana kuvuliwa kwa miaka mitatu sasa litaenda kuvuliwa 2015 siju!?

Chadema kimethubutu na kimeweza bila kuangalia Jina wala Cheo cha mtu je Ccm watathubutu au watabakia tu na Slogan km ile ya KUVUA GAMBA, bila mafanikio!?

Majibu tutayapata soon! Si ni jana tu Msindai aliwajibu na mkaanza kuchanganyikiwa. Hakuna muda na mwaka ambao CCM ktk uhai wake iliwahi kupata wakati mgumu kama ambapo itaenda kupata mwaka 2015 wakati wa kumtafuta mgombea Rais!

Wewe leo kimbilia kuandika huu upuuzi wako lakini nikuhakikishie tu kwamba ipo siku mtajuta na kulia kilio cha kusaga meno na km huna meno utasaga hata Fizi!
 
ni hivi walizoea kumtegemea baba wa Taifa hili awasaidie kila wanapokuwa katika wakati mgumu, sasa mwaka huu hata mzimu wa nyerere hautakuwa upande wenu coz sisiem mmekuwa mkimtusi baba wa taifa hili kwa kumwita mdini na dikteta
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!
Kitakuwa chama cha pili cha upinzani tanzania kwa mara ya pili, je hii ina maslahi kwa walala hoi?,maana mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1995 ikachezwa rafu kikashuka,Mwaka 2000 CUF ikaitwa jina hilohilo mchezo huo huo kikashuka,mwaka 2010 CDM kikawa na sasa magamba yanataka kucheza rafu tena ili turudie mzunguko,ili mradi siku ziende magamba yatawale tanzania milele,Safari hii tumewashtukia,CDM inaendelea kuwa chama kikuu mpaka mn'goke madarakani
hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom