NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!

Barabara ya Kilombero - Mahenge Novemba 2013.

Lukosi unaongelea barabara gani, unongelea Tanzania gani? Mburura mkubwa wewe!!

HPIM0746_f68db.JPG
 
Ndugu yangu Lukosi hata kama CDM wamekukataa hizo hasira hazikufikishi kokote! CDM kitaendelea kudunda hata baada ya uchaguzi wa 2015. Tatizo lako hujui ufanye nini kurudi toka mafichoni haiwezekani maana.................!!
Unafuatilia mkutano leo?

Jifunze
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!

Nina wasiwasi na akili yako.
 
Hivi kumbe na wewe ni Muha? Nina mashaka na post hii!!!???

ndugu zanguni,

kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , nccr mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

nccr mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha nccr mageuzi ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya ccm chama dume

hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biashr y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

jitambue!
go and tell this non sense t yur own daddy first.
 
Mkuu,
Ni kweli kabisa!

Dr W.P.Slaa atakuwa Rais wa JMT

CHADEMA chama tawala!

NCCR-Mageuzi chama kikuu cha upinzani!

CCM na CUF watagombania nafasi zs uwakilishi zilizobaki!

Upo sahihi kabisa mkuu!
 
Unafuatilia mkutano leo?

Jifunze

Mkuu kazi zetu siyo kama zenu ambazo unaweza kuendelea kuangalia mambo ambayo hayana TIJA lkn labda unapata watu wa kutuma spares TZ! Kwangu I need 100% concentration ili hawa watu weupe mnao waabudu na kuwapigia magoti wajue YES THERE SOME AFRICANS WHO CAN PERFORM EVEN MUCH BETTER THAN THEM` HIVYO NDUGU YANGU ASKARI SINA HUO MUDA KWA LEO!! NAFIKIRI UJUMBE WANGU UMEUPATA!
 
Mkuu,
Ni kweli kabisa!

Dr W.P.Slaa atakuwa Rais wa JMT

CHADEMA chama tawala!

NCCR-Mageuzi chama kikuu cha upinzani!

CCM na CUF watagombania nafasi zs uwakilishi zilizobaki!

Upo sahihi kabisa mkuu!
Hongera...
 
inawezekana kweli baada ya cdm kutinga magogoni na ccm kufa hapo2015,nccr kitakuwa ndicho chama kikuu cha upinzani tz. mleta mada kaona mbali,kumbe hata misukule wakati mwingine huwa inarejewa ufahamu aisee!
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!

buku 7 ya lumumba imekutuma uandike thread tehe tehe ubongo wa kuku
 
mkuu hayo ni maneno tu....
mkuu tunaomba upeleke rambirambi tafadhali....
 
NCCR MAGEUZI kutoka wabunge 19 hadi leo ni wana wabunge 6! @ Chris Mikosi!
 
Wanaccm walio wengi zero brain. Jana tulikuwa kwenye mazishi mambo ya utani yaliibuka kama kawaida maana jamaa alivaa kofia chaf ya ccm. Akaulzwa kma ni mwanaccm akasema ndio na anaipenda sabab imemsomesha mambo ya TANU, ccm na akawa injinia. Mh! Nikapata shaka kidgo, lakn akaendelea kuwa kafanya kazi mtibwa sugar na kasema ngoja niwatolee cv. Du! Pakanoga nikasogea kuchek naona anatoa kitabu kdogo kimechanika niangalie kama kaandika yeye hakuna! Kwa kuwa kilitumia lugha ya waingereza, tukamtega atusome aaah hajui kitu. Da! Watu wote kicheko! HAO NDO WANAccm.
 
Kweli mkuu, NCCR itakuwa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA itakuwa chama tawala. CCM mtakuwa wapi?
 
kichwa maji!!! na lile anguko la Ccm baada ya kutangaza mgombea urais 2015 umeliwekaa kwapani? pole sana kuna dalili zote ya hicho unachokitabiria 'Nccr kikaikumba ccm yako
 
Ngoja nikuulize tu swali moja, LINI UMERUDI HOME?

Kwa taarifa yako bongo imebadilika sana sio kama zamani, wewe kukaa huku ulaya haina maana unawazidi au una akili kuliko wale walio bongo

Kkuna kitu kinaitwa mabasi ya kasi umewahi sikia? huo mradi uko mbioni kukamilika, suala la barabara za lami siku hizi sio issue tena kwani imekuwa kitu cha kawaida hadi Iiringa dodoma ni mkeka tu siku hizi.

Pia usisahau kuwa bongo siku hizi middle class ni kitu cha kawaida na ni wengi mno sio kama zamani na huhitaji kuwa mchawi kuwa tajiri.

Siku hizi watu wanawezeshwa , nakushauri urudi nyumbani ukalijenge taifa kwani hiyo kazi unayofanya sasa hailingani kabisa na elimu yakoi

JITAMBUE!

Wee dogo ni bonge la fallaaa!!!

Yani kenge kabisa...mi nawajua wahehe wana akili...wahehe wa ukweli waliokunywa ulanzi kidogo wakiwa wadogo wanakuwa na akili.

Wewe sijui ulinyewa ukatupwa ruaha ndogo? Ukalelewa kama kambale??!

Such a pumpkin head!!
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!
Huyu jamaa ni janga humu Jamii forums......I hate this nigger.
 
Kweli Lukosi hata hahangaiki kushughulisha akili,yaana anathubutu kuringanisha nguvu ya umma na nccr? Kumbuka NCCR ilihujumiwa na CCM ila kwa CHADEMA kupitia Zitto imegonga mwamba. CHADEMA mziki mwingine wewe mla rambirambi. 2015 Sina mashaka hata wewe unajua ikulu haiwezi kukwepa katka kuipokea CHADEMA tayari kuongoza Tanzania ambapo nchi itaendeshwa vizuri na kistaarabu maana watz CHADEMA iko mioyoni.
 
Huyu jamaa ni janga humu Jamii forums......I hate this nigger.

Kwakua demokrasia kwenu ni msamiati mgumu ni lazma utamchukia lakini Kwa unafiki ambao M.bowe na S.laa wameuesha 2015 jibu litapagikana
 
Back
Top Bottom