ENOCK SEMAKO
Member
- Apr 4, 2013
- 46
- 2
Kweli wewe ni chilisosi maana hata mawazo yako nayo ni ya kichilisosi tu NCCR ya mwaka 1995 na sasa ni sawa?
Uzuri ni kwamba vijana wengi siku hizi ni wajanja na sio rahisi kuwafanya wajinga/mtaji kila siku, wamechoka kupelekeshwa
Wanaotukana matusi ni chadema tu, hakuna wengineKweli Tawala anajitahidi ku-Devide And Rule
Ona sasa NCCR wamesahau adui yao ni nani wanalia na CHADEMA.
Mleta Mada nikuulize tu, Lengo la Hii Thread ni nini? Nipe japo sababu tatu kubwa (Tafadhali yasiwe maswali wala matusi).
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.
Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu
NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa
Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME
JITAMBUE!

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

Bado hujajibu swali, labda nikukumbushe; Je sababu yako ya kutoka Chadema kurudi kuwa vuvuzela wa CCM ni baada ya wewe kurudi Tanzania kukuta kuna barabara nyingi za lami?Mbulumundu sio tusi bali ni mfano stahiki kwa akili yako
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.
Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu
NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa
Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME
Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi
JITAMBUE!
Ngoja nikuulize tu swali moja, LINI UMERUDI HOME?Bado hujajibu swali, labda nikukumbushe; Je sababu yako ya kutoka Chadema kurudi kuwa vuvuzela wa CCM ni baada ya wewe kurudi Tanzania kukuta kuna barabara nyingi za lami?