NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

ccm ndio cha kikuu cha upinzani tarajiwa,vinginevyo cuf na nccr wataunda kambi ya upinzani pamoja.Hebu tupia kura za chadema chalinze na kalenga 2010 na za hivi punde;
kama chadema 2010 ilipata kura kiasi hicho,tarajia ushindi mnono next year!
 
labda kaskazini lakini sio tanzania hii niijuayo
 
mbona huna msimamo braza?kama baamedi yani kila mteja anaeagiza sana unataka umhudumie wewe.tuliza akili halafu ungana na upande unaouamini tena usifuate watu fuata misingi.mara Juzi ulikua CDM,Jana CCM,leo asubuh ACT jioni unaomba watu wakusaidie kuchagua.acha kua na akili za kushikiwa.utamegwa,utafata misimamo ya wanaume wenzio mpaka lini?utamegwa....
 
ccm ndio cha kikuu cha upinzani tarajiwa,vinginevyo cuf na nccr wataunda kambi ya upinzani pamoja.Hebu tupia kura za chadema chalinze na kalenga 2010 na za hivi punde;
kama chadema 2010 ilipata kura kiasi hicho,tarajia ushindi mnono next year!

kula like
 
CHADEMA wanarudia makosa yale yale yaliyowahi kufanywa na NCCR-MAGEUZI na baadaye CUF.Migogoro ikishughulikiwa vizuri hukinufaisha Chama kwasababu mpaka mnaamua kupatana na kuyamaliza maanake ni kwamba mmeamua sasa kushughulikia matatizo ya msingi yaliyosababisha hadi mkaingia kwenye mgogoro na hatimaye kuamua kwenda na common ground.NCCR-MAGEUZI wakashindwa kushughulikia mgogoro wao katika namna inayofaa kwasababu waliuchukulia mgogoro kama tatizo kwao badala ya kuuchukulia mgogoro kama changamoto/maswali yaliyohitaji ufumbuzi/majibu sahihi,Matokeo yake Chama kikadhoofika.CHADEMA wakashindwa kujifunza kutokana na hayo makosa ya NCCR-MAGEUZI na wao wakajiingiza kwenye mtego huo huo sasa wanayaona matokeo yake japo hawataki kukiri hadharani,Nashukuru kwamba muasisi wa CHADEMA ameona matokeo ya mgogoro kwa Chama chake na kuamua kupiga stopu timua timua ndani ya Chama.
CUF wao walifanya kosa jubwa la kujaza Viongozi wengi wa ngazi ya Taifa kutoka imani moja ya kidini.CCM wakatumia mwanya huo kuwafungamanisha CUF na udini,Japo walijitetea lakini sura ya uongozi wa Taifa kwenye Chama chao uliwaangusha na kudhoofisha utetezi wao.CCM wakafanikiwa kutumiwa mbinu yao ya wagawe ili uendelee kuwatawala,CUF taratibu ikaanza kupotea huku Bara kutoka Chama kikuu cha Upinzani hadi hapa kilipo.CHADEMA nao wakaingia kwenye mtego huo huo wa maangamizi ya kisiasa.CHADEMA kama walivyokuwa CUF walishindwa kuweka uwiano mzuri wa Viongozi wa Kitaifa ambapo nyadhifa za juu zilishikwa na Wakristu na Wakaskazini huku watu wa imani nyingine na wa kutoka kanda nyingine wakipewa aidha unaibu/umakamu au nyadhifa zisizo na umuhimu sana ndani ya Chama.Kwa mfano nafasi nyeti kama za Mwenyekiti,Katibu mkuu,Mkurugenzi wa fedha,Mkurugenzi wa masuala ya Bunge,Hazina zimekwenda kwa Wakristu wa kaskazini.CCM waliuona huu mwanya na walikomaa nao miaka nenda miaka rudi japo kuna baadhi ya wanaCHADEMA waliamini kwamba propaganda machine ya CCM safari hii haitafanikiwa dhidi ya CHADEMA kama ilivyokuwa kwa CUF lakini baadhi yetu tulijua madhara ya propaganda za udini/ukanda dhidi ya CHADEMA yataanza kuonekana muda si mrefu kutokana na namna Viongozi wa CHADEMA walivyokuwa wakifanya makosa ya dhahiri kabisa ya kufanya mambo yale yale ambayo CCM wamekuwa wakijaribu kuwafungamanisha nayo.Hili ndilo kosa kubwa kabisa ambalo Viongozi wa CHADEMA wamelifanya la kurejea makosa ya kisiasa yaliyofanywa na Vyama vya NCC-MAGEUZI na CUF.
 
kwa cdm kushika upili chalinze kwa dftari hili la nechuo ni ushindi
 
Utahangaika sana lakini CCM inakiona cha moto! Hata zile zilizokowa ngome za mke wake CUF zimetekwa na Chadema. Na kiki kitoto njiti chao kilichozaliwa yaa ACT ndio kabisa kinapumulia mashine!
 
kitendo cha viongozi wote wa chadema kumshambulia zito hadharani kwa sababu ya dini yake kimewahuzunisha sana watanzania
 
Utahangaika sana lakini CCM inakiona cha moto! Hata zile zilizokowa ngome za mke wake CUF zimetekwa na Chadema. Na kiki kitoto njiti chao kilichozaliwa yaa ACT ndio kabisa kinapumulia mashine!

Kutokuwa tayari kukiri mapungufu yenu itakuwa ni kitanzi chenu cha kisiasa.Watu gani hamtaki kukosolewa au nyinyi ni mapandikizi wa CCM mnaojifanya wanaCHADEMA kumbe mpo kwa kazi maalum ya kuwavunja moyo watanzania wazalendo wanaokitakia mema CHADEMA ili wasiendelee kutoa michango yao ya kimawazo ya kukijenga na kukiimarisha.
 
Utahangaika sana lakini CCM inakiona cha moto! Hata zile zilizokowa ngome za mke wake CUF zimetekwa na Chadema. Na kiki kitoto njiti chao kilichozaliwa yaa ACT ndio kabisa kinapumulia mashine!
Unaota mchana kweupee
 
Siasa za chadema ndio hivyo zipo ukingoni, kinapotea. Ni vyema tuanze kujiandaa kisaikolojia kukiunga chama kingine mkono ambacho kitashika hatamu ya kuongoza upinzani nchini na hatimaye kushika dola ya tanzania.
Nccr?
cuf?
chauma?
ADC?
A.C.T?
au the beautiful ones are not yet born...
Leo ukiwa unakula ugali wa draft na baba yako na mama yako anzeni kujadili jinsi ya kuunda chama kipya kitakacho ongoza au mteu mzee wa ukoo wako anzishe coz yaelekea akili zenu zina fanana
 
Back
Top Bottom