NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

akili huna unadhani humu jamvin tupo mbulula kama wewe?skia watakae kuunga mkono ni mazuzu kama wewe,unadhani kitendo cha chadema kuwa chama kikuu cha upinzani ni kazi ndogo eeh,kwa akili yako iyo ina maana tuendelee kuiacha ccm miaka milele manake mpaka kukikuza chama kingine ili kiwe chama kikuu cha upinzani co leo ushauri wa bure kwako acha propaganda
 
Siasa za chadema ndio hivyo zipo ukingoni, kinapotea. Ni vyema tuanze kujiandaa kisaikolojia kukiunga chama kingine mkono ambacho kitashika hatamu ya kuongoza upinzani nchini na hatimaye kushika dola ya tanzania.
Nccr?
cuf?
chauma?
ADC?
A.C.T?
au the beautiful ones are not yet born...

CCM kuwa chama cha upinzani maana CDM itaingia madarakani
 
CCM watakuwa wanakabana koo na NCCR, CUF wakati huo CDM itakuwa imeshika dola...Only if Daftari la wapiga kura litaboreshwa, Voting System haitachakachuliwa...
 
siasa za chadema ndio hivyo zipo ukingoni, kinapotea. Ni vyema tuanze kujiandaa kisaikolojia kukiunga chama kingine mkono ambacho kitashika hatamu ya kuongoza upinzani nchini na hatimaye kushika dola ya tanzania.
Nccr?
Cuf?
Chauma?
Adc?
A.c.t?
Au the beautiful ones are not yet born...
ndoto za alinacha hizo
 
Kipi hicho mkuu. Na je huo mziki wa cdm ni upi? Chopa 3 kata 3 au kalenga na chalinze? Hebu tuliza kichwa basi tujadili mambo ya msingi
habiibu, habiibu!... wewe CHAUMA? CCM au ACT?
 
siasa za chadema ndio hivyo zipo ukingoni, kinapotea. Ni vyema tuanze kujiandaa kisaikolojia kukiunga chama kingine mkono ambacho kitashika hatamu ya kuongoza upinzani nchini na hatimaye kushika dola ya tanzania.
Nccr?
Cuf?
Chauma?
Adc?
A.c.t?
Au the beautiful ones are not yet born...

c c m
 
CCM mnakazi ya ziada inaonekana hamlali kuihofia Chadema ila mda ukifika haya yote yataisha,
 
Hadi wajasiriamali wa kisiasa waishe ndio kutakuwa na chama cha upinzani imara
 
Endapo cdm kitafeli ktk nia zake za atleast kubaki ktk kiongozi wa kuongoza kambi ya upinzani bungeni,Sifikiri tena kama kuna chama kingine kitakachokuwa na ubavu kama cdm,ingawa nccr mageuzi iliwahi kuwa imara pamoja na cuf,Maana tumeshachoka na mavyama yakinafki,chama kingine kimaweza kuwa imara endapo tu,"Kiongozi pendwa atatoka ndani ya ccm na kuhamia chama cha upinzani"unless otherwise the die of cdm means the end of real multipatism in tanzania
 
akili huna unadhani humu jamvin tupo mbulula kama wewe?skia watakae kuunga mkono ni mazuzu kama wewe,unadhani kitendo cha chadema kuwa chama kikuu cha upinzani ni kazi ndogo eeh,kwa akili yako iyo ina maana tuendelee kuiacha ccm miaka milele manake mpaka kukikuza chama kingine ili kiwe chama kikuu cha upinzani co leo ushauri wa bure kwako acha propaganda

salaam za kalenga na sasa chalinze zikupate popote pale ulipo hata kama ni chooni
 
akili huna unadhani humu jamvin tupo mbulula kama wewe?skia watakae kuunga mkono ni mazuzu kama wewe,unadhani kitendo cha chadema kuwa chama kikuu cha upinzani ni kazi ndogo eeh,kwa akili yako iyo ina maana tuendelee kuiacha ccm miaka milele manake mpaka kukikuza chama kingine ili kiwe chama kikuu cha upinzani co leo ushauri wa bure kwako acha propaganda

Acha umbulula wewe,CUF haikuwa chama kikuu cha upinzani?NCCR haikuwa chama Kikuu cha upinzani? Vyote hivi vikowapi? CDM hakitakuwa chama Kikuyu cha upinzani baada ya 2015.Unatakiwa tu ujiandae kisaikolojia.
 
Siasa za chadema ndio hivyo zipo ukingoni, kinapotea. Ni vyema tuanze kujiandaa kisaikolojia kukiunga chama kingine mkono ambacho kitashika hatamu ya kuongoza upinzani nchini na hatimaye kushika dola ya tanzania.
Nccr?
cuf?
chauma?
ADC?
A.C.T?
au the beautiful ones are not yet born...

chichiem
 
Back
Top Bottom