NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

Umetumwa au umejituma jitambue wewe kwanza chadema ni mpango wa mungu upende usipende.
 
Bado hujajibu swali, labda nikukumbushe; Je sababu yako ya kutoka Chadema kurudi kuwa vuvuzela wa CCM ni baada ya wewe kurudi Tanzania kukuta kuna barabara nyingi za lami?

msamehe bure naona huyu mbeba mabox anazidi kuchanganyikiwa, CHADEMA CHAMA TAWALA, NCCR MAGEUZI CHAMA KIKUU CHA UPINZANI MWAKA BAADA YA 2015! VIVA CHADEMA
 
Kama Chadema sera yao kuu ni biashara ya gongo kama alivyosema Slaa kule Kasulu, ni bora wapenda upinzani wafikirie chama kingine...
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!

Wewe tayari umeshahamia!??
Pole.
 
Hakuna chama chenye harufu ya UKANDA, UDINI, au UKABILA kitaongoza Tanzania. Kwa uchache CHADEMA, CUF, NCCR na vinginevyo vina harufu chafu inayotokana na hayo. Kwa sasa hakuna mbadala wa CCM. Njia rahisi wote ni kuingia humo na kushikana mashati humohumo kwa taratibu na kanuni za chama. Nje ya hapo kwa sasa ni SACCOS

well said mkuu kabindi. nakerwa sana na style ya vyama pinzani Tanzania
 
Makuli kwa matusi! sasa tumekufanyia nini watanzania mpaka unatutukana namna hii?
 
Inawezekanana Tanzania tujawa juu ku utitiri wa wanajimu faki. Walianza wakina shehe yahaya na huku kuna xs lukos(glucos). Fungua ofisi.
 
Inawezekanana Tanzania tujawa juu ku utitiri wa wanajimu faki. Walianza wakina shehe yahaya, wasira, napoe na huku kuna xs lukos(glucos). Fungua ofisi.
 
Back
Top Bottom