NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!

Taabu sana!
Hata wewe ni moja wa hawa vijana wa buku 7??

Leo watanzania wanajadiri mawaziri 7 mbumbumbu na majanga wa serikali ya ccm, ili kulinusuru taifa lisizame zaidi, wewe ukaona uvuruge hoja kubwa ya leo, kwa kupachika uharo huu!

attachment.php
 
huu sijui ni ugonjwa gani umempata mwenzetu! asamehewe bure!
 
Lukosi ni kama anasumbuliwa na kiungulia. Kama ametambua kuwa NCCR ndo itakua bora kwanini asimshauri Kinana ahamie huko!? CDM haifi kama ambavyo ccm wanatamani iwe,ila itahimarika na kuwa chama dola hivi karibuni,hizo hoja za kijuha za akina Lukosi na wengine wa aina yake za kuwa CHADEMA kuna udini na ukabila,huenda anaewaangusha ni msajili wa vyama vya siasa asiyeruhusiwa kusajili vyama vya kibaguzi ila ama kwa kukipenda au kutojua,akajikuta anakisajili chama cha kikombozi CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO.

Lukosi huenda hajui kuwa hata vyama vya upinzani vikitoweka Tanzania,watu mmojammoja au kwa makundi wataendelea kuipinga ccm tu kwasababu ya kuchoshwa na utawala wa chama hiki ambacho rais na familia yake woote wanakua viongozi,yaani hadi nyumba ndogo zake nazo zinapewa hadhi ya uongozi.Kasi ya maendeleo unayoyataja Lukosi haiendani na rasilimali tunazovuna,tunavuna pakubwa penye thamani kubwa ila kinachofanyika ni kidogo chenye thamani ndogo zaidi.

HATA KAMA VYAMA VYA UPINZANI VIKITOWEKA LEO HAPA NCHINI,BADO HALI HAITOKUWA SHWARI KWA CCM
 
Chadema kitakuwa chama tawala na nccr kitakuwa chama kukuu cha upinzani. Habari ndio hio
 
Jamani huyu mtu anapointi tumpongezeni make mimi nahisi atakuwa ameoteshwa ukweli huyu.Baada ya CHADEMA kushika DOLA Mwaka 2015 na kuendelea, CCM hakitakuwa tena na sifa hata ya kuitwa chama kikuu cha upinzani hapa Tanzania badala yake NCCR MAGEUZI wata take cover.
 
Mtu akimwita Chris Lukosi Mbwa nitakuwa wa kwanza kumuunga mkono,Lukosi huna jipya isipokuwa wewe ni wakara wa ccm,that is it,huna jipya na furaha yako paja na Macorpolo ni kuona ccm haing'oki madarakani,by the way ufumbuzi siyo kuwa na chama kikubwa cha upinzani bari vyama viungane kuing'oa mijangiri ya tembo inayopita kila kona kupanga mkakati wa wizi wa ardhi na pembe za ndovu,
Mijitu yenyewe imechoka hata kuwaza na sasa haitaki kurekebisha hata daftari la wapiga kura shame on you Magamba.
 
Mbwa akiniita mbwa sitachukia.
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!
Kama hujui kusoma hata picha huoni? CDM next level
 
Ngoja nikuulize tu swali moja, LINI UMERUDI HOME?

Kwa taarifa yako bongo imebadilika sana sio kama zamani, wewe kukaa huku ulaya haina maana unawazidi au una akili kuliko wale walio bongo

Kkuna kitu kinaitwa mabasi ya kasi umewahi sikia? huo mradi uko mbioni kukamilika, suala la barabara za lami siku hizi sio issue tena kwani imekuwa kitu cha kawaida hadi Iiringa dodoma ni mkeka tu siku hizi.

Pia usisahau kuwa bongo siku hizi middle class ni kitu cha kawaida na ni wengi mno sio kama zamani na huhitaji kuwa mchawi kuwa tajiri.

Siku hizi watu wanawezeshwa , nakushauri urudi nyumbani ukalijenge taifa kwani hiyo kazi unayofanya sasa hailingani kabisa na elimu yakoi

JITAMBUE!

Wewe kweli msukule,hizo barabara zisizo na kiwango tena chache zinamsaidia nini maskini wa tz? gharama za maisha zinapanda holela watz hawawezi hata kumudu milo 3 kwa siku,elimu imekufa,afya kichefuchefu halafu wewe unaleta ngonjera? walimu,manesi wanalia na mishahara kiduchu!
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!

Mkuu mbona unatuharibia CCM yetu? Nyie mlotoka huko CHADEMA huku bado mwakipenda chama chenu ndio mnatuharibia muonekano wa CCM yetu. Kama bado una Mahaba na CHADEMA why ulikuja kwetu CCM?

Tukiwa kama wana CCM safi na tunayejua na kuamini siasa za kistaarabu tunaweza tangaza na kuisimamia sera na itikadi za chama bila nyie ambao mioyo yenu ipo CHADEMA. Kama chama tumefanya kosa kubwa sana kuwaamini na kuwapa uwanja wa kufanya hizi siasa zenu zisizo na tija wala afya kwa chama chetu cha CCM.

Nawashauri kama bado mwakipenda chama chenu CHADEMA si ni bora mrudi huko kuliko kuwa mpo CCM halafu bado mwafuatilia mambo ya CHADEMA.
 
Huo mvuto unaouona umepotea ni wewe na baba yako lakin chadema hawezi kupoteza mvuto eti kwasabu ya kuwajibisha viongoz wa juu wenyekutaka chama kisiwe na mvuto. Chama imara hakifumbii macho ujinga. Ya kufumbiana macho yako uko kwenu CCM.
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!

Biashara imekushinda na unajaribu kazi ya utabiri au you keep yourself busy with both jobs?
 
Mkuu mbona unatuharibia CCM yetu? Nyie mlotoka huko CHADEMA huku bado mwakipenda chama chenu ndio mnatuharibia muonekano wa CCM yetu. Kama bado una Mahaba na CHADEMA why ulikuja kwetu CCM?

Tukiwa kama wana CCM safi na tunayejua na kuamini siasa za kistaarabu tunaweza tangaza na kuisimamia sera na itikadi za chama bila nyie ambao mioyo yenu ipo CHADEMA. Kama chama tumefanya kosa kubwa sana kuwaamini na kuwapa uwanja wa kufanya hizi siasa zenu zisizo na tija wala afya kwa chama chetu cha CCM.

Nawashauri kama bado mwakipenda chama chenu CHADEMA si ni bora mrudi huko kuliko kuwa mpo CCM halafu bado mwafuatilia mambo ya CHADEMA.
Una uhakika uko sawa kichwani?
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!

Chris Lukosi, jamba, kunya tambua kkuwa Chadema inasonga mbele, hizi propaganda rahisi... hazitakusaidia.
Mwanza leo jioni.... kama una wivu sema Swela! Kajinyonge!!

attachment.php
 
Hakuna wakati Chadema ipo imara kama sasa,ni lazima CDM ipitie tanuru hili kuweza kuikomboa nchi,Tunahitaji Chama chenye viongozi thabiti,Hiyo NCCR inyoongozwa na viongozi wa promotion,viongozi wa nyongeza,viongozi sio riziki,Mwenyekiti wake ni wa viti maalumu pekee wa kiume kutoka upinzani bila aibu.Amepewa kama shukurani kwa kuiimarisha CCM.
 
Back
Top Bottom