Mkuu naenda Tanzania mara nne kwa mwaka, mara ya mwisho nimetoka 10/11/2013. Hiyo barabara kweli inajengwa na ni haki kujengwa. We are better than that.Ngoja nikuulize tu swali moja, LINI UMERUDI HOME?
Kwa taarifa yako bongo imebadilika sana sio kama zamani, wewe kukaa huku ulaya haina maana unawazidi au una akili kuliko wale walio bongo
Kkuna kitu kinaitwa mabasi ya kasi umewahi sikia? huo mradi uko mbioni kukamilika, suala la barabara za lami siku hizi sio issue tena kwani imekuwa kitu cha kawaida hadi Iiringa dodoma ni mkeka tu siku hizi.
Pia usisahau kuwa bongo siku hizi middle class ni kitu cha kawaida na ni wengi mno sio kama zamani na huhitaji kuwa mchawi kuwa tajiri.
Siku hizi watu wanawezeshwa , nakushauri urudi nyumbani ukalijenge taifa kwani hiyo kazi unayofanya sasa hailingani kabisa na elimu yakoi
JITAMBUE!
Kama DJ tuumeishia kidato cha ngapi?
Hebu jaribuni kuwa na shukurani na mumpe mtu haki yakeMkuu naenda Tanzania mara nne kwa mwaka, mara ya mwisho nimetoka 10/11/2013. Hiyo barabara kweli inajengwa na ni haki kujengwa. We are better than that.
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.
Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu
NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa
Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME
Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi
JITAMBUE!
Mkuu Chris, ni kweli kuna changes lkn TUNATAKIWA KUWA BORA KULIKO TULIVYO SASA HIVI. Ingia Tz advert uone watu wanavyo advertise nyuma na viwanja kwa USD? Kwa nini tunafanya hivyo? Ni mambo kama hayo yanayonifanya niziulize maswali kweli tuna serikali?Hebu jaribuni kuwa na shukurani na mumpe mtu haki yake
RAIS JAKAYA KIKWETE KAFANYA MAKUBWA SANA KUTIMIZA AHADI ZAKE
TANZANIA HAIKUWA HIVI BEFORE, TULIKUWA HATUNA BARABARA NA MAISHA YALIKUWA MAGUMU SANA
LEO HII KULA CHIPSI KUKU SIO STAREHE TENA NA KUNYWA BIA SIO KIPIMO CHA UWEZO WA KIPESA TENA
JITAMBUE WEE
Mkuu kwani hujui kuwa usd ndio world currency?Mkuu Chris, ni kweli kuna changes lkn TUNATAKIWA KUWA BORA KULIKO TULIVYO SASA HIVI. Ingia Tz advert uone watu wanavyo advertise nyuma na viwanja kwa USD? Kwa nini tunafanya hivyo? Ni mambo kama hayo yanayonifanya niziulize maswali kweli tuna serikali?
Kuna kitu kinaitwa mabasi ya kasi umewahi sikia? huo mradi uko mbioni kukamilika,
Ila wanakuonea sana. Zaidi ya 98% ya wachangiaji humu jf wamekuwa wakikupinga kwa kila unachokiandika. Pengine utakapopona maradhi yako hayo ya akili wanaweza kukuelewa na kukuthamini kama raia timamu.Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.
Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu
NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa
Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME
Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi
JITAMBUE!
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.
Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa inaokana wewe ni Voyeur ndo maana unahangaika na vyama vya wenzako
Yaani wewe masalakulangwa unaniita mimi bwana mdogo???Kuna watu ni waongo sana na sababu kuu ni vile upo ndani ya chama kilichoiweka Taifa letu hapa tulipo leo.
Mradi wa barabara za BRT zina una zaidi ya phase moja na ndio kwanza utengenezaji wake upo phase ya kwanza, na hii phase ina mwaka mmoja na ushee mbele hadi kukamilika kwake...
Sasa wewe bwana mdogo kwa kuwa una mawazo ya kimsukule kama wana CCM wote walivyo, unapiga tu porojo hapa "eti mradi upo mbioni kukamilika"...hizo phases nyingine za routes za Mbagala, Gongo la Mboto, Tegeta ushazijenga wewe?
Ngoja nikuulize tu swali moja, LINI UMERUDI HOME?
Kwa taarifa yako bongo imebadilika sana sio kama zamani, wewe kukaa huku ulaya haina maana unawazidi au una akili kuliko wale walio bongo
Kkuna kitu kinaitwa mabasi ya kasi umewahi sikia? huo mradi uko mbioni kukamilika, suala la barabara za lami siku hizi sio issue tena kwani imekuwa kitu cha kawaida hadi Iiringa dodoma ni mkeka tu siku hizi.
Pia usisahau kuwa bongo siku hizi middle class ni kitu cha kawaida na ni wengi mno sio kama zamani na huhitaji kuwa mchawi kuwa tajiri.
Siku hizi watu wanawezeshwa , nakushauri urudi nyumbani ukalijenge taifa kwani hiyo kazi unayofanya sasa hailingani kabisa na elimu yakoi
JITAMBUE!
Zingatia red,Hebu jaribuni kuwa na shukurani na mumpe mtu haki yake