NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

Zingatia red,
mbona kabla hujafukuzwa chadema husemi hayo?
Afu tumesikia we ni mbeba mizigo ya wasafiri, basi labda uchovu tu huo... we kwa taarifa yako.. hakuna chama badala ya Chadema, sema tu wewe hata ukiomba kurudi hawakupokei, ndo maana unahangaika.
Ni kweli mimi ni mbeba boksi lakini sivunji sheria
 
Mkuu kwani hujui kuwa usd ndio world currency?

Mbona hapa sisi tuko UK lakini kusafirisha magari na amakontena tunachajiwa kwa usd?

Kumbuka kuwa hela nyingine zinachuja haraka sana na watu wanataka stable hela ndio maana wanatumia dollar

Kenya hela yao ina thamani kuliko yetu lakini wanatumia usd kwenye biashara nyingi tu.

Kabla ya JK mambo hayakuwa hivi.

JK kawawezesha watu ndio maana mnapata hata muda wa kumsema vibaya.

Mimi sishangai kwani hata mimi mwenyewe nimetokea kuchukiwa na watu ambao nimewaokota mitaani na kuwasaidia sembuse wewe ambae hata bongo hujakanyaga toka ujilipue miaka ishirini iliyopita?

Vipi umeishapata karatasi lakini?
I wish ungejua ni nani unaongea naye. Ni pm Nipe ratiba yako tukutane at the place of your choice for cup of tea within London alafu uje na mtu unayemheshimu, nikupe ABCS ya system ya Tanzania kwani naona wewe ni limbukeni wa siasa za Tanzania
 
Zingatia red,
mbona kabla hujafukuzwa chadema husemi hayo?
Afu tumesikia we ni mbeba mizigo ya wasafiri, basi labda uchovu tu huo... we kwa taarifa yako.. hakuna chama badala ya Chadema, sema tu wewe hata ukiomba kurudi hawakupokei, ndo maana unahangaika.
Hebu nitajie mbulumundu yeyote wa chadema hata huyo kengeza wenu mwenye uwezo wa kunifukuza mimi
 
I wish ungejua ni nani unaongea naye. Ni pm Nipe ratiba yako tukutane at the place of your choice for cup of tea within London alafu uje na mtu unayemheshimu, nikupe ABCS ya system ya Tanzania kwani naona wewe ni limbukeni wa siasa za Tanzania
Mkuu lets put it this way

Tuonane unapotakla wewe kesho halafu matokeo tuyaweke hapa live kwa sababu sip-endi unafiki
 
Ndugu yangu Lukosi hata kama CDM wamekukataa hizo hasira hazikufikishi kokote! CDM kitaendelea kudunda hata baada ya uchaguzi wa 2015. Tatizo lako hujui ufanye nini kurudi toka mafichoni haiwezekani maana.................!!
Hahaha hahaha Hahaha hahaha kwanza arudishe rambi rambi alizoiba za marehemu mwangosi
 
Ila wanakuonea sana. Zaidi ya 98% ya wachangiaji humu jf wamekuwa wakikupinga kwa kila unachokiandika. Pengine utakapopona maradhi yako hayo ya akili wanaweza kukuelewa na kukuthamini kama raia timamu.
Hahaha hahaha hahaha hahaha laana inamtafuna..aliiba pesa za rambi rambi za marehemu mwangosi. Sasa hivi hana mbele wala nyuma.
 
Nimefungua uzi,kumbe ni huyu bwana mzee wa rambirambi,nimecheka sana.
 
Chris Lukosi
Dhambi ya kula rambi rambi itakutesa sana aisee
 
Last edited by a moderator:
kwa Mara ya kwanza niseme I conquer with you Lugosi.nakubaliana nawewe kwasababu kubwa moja,baada ya uchaguzi 2015 nikweli cdm haitakuwa chama Kikuu cha upinzani nchini, kwani kitakuwa chama tawala.na kwa man tiki hiyo ccm watakuwa hawana hata uwezo wa kuwa chama Kikuu cha upinzani.
 
Umepoteza network kichwani kwako, panda kwenye mnara kabisa, tena a airtel.
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!
BOLD.Umejionyesha ulivyo mpu.uzi kweli. Ni nani anayeingia chama ili awe mpinzani wa kudumu na wa kweli? Malengo ya chama chochote ni kushika madaraka hivyo kama wewe unawashauri watu eti waendelee kuwa wapinzani wa kweli sijui kwa maana ipi.
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo kwa sasa kinaendelea kunuka ndani ya chadema, chama ambacho ni kikuu cha upinzani nchini. Jambo hili la timua timua na kuumbuana wazi wazi kwa viongozi wa ngazi ya juu chadema imekifanya chama hiki kipoteze mvuto na heshima mbele ya jamii.

Wakati huo huo, Chama kizoefu na chenye wasomi waliobobea , NCCR mageuzi wamekuwa kimya huku wakijiimarisha zaidi na kujijengea heshima kubwa m,bele ya jamii kwa kufanya harakati zao bila vurugu na bila kuwa kwaza watu

NCCR mageuzi kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi ujao kwani nina uhakika wajizolea majimbo mengi ya Chaema na wakati huo huo chadema itakuwa inapoteza majimbo mengi wanayoyashikilia kwa sasa

Kwa wale wanaopenda kuwa wapinzani wa kweli, huu ni wakati muafaka wa kujiunga na chama kisicho na ukabila wala udini cha NCCR MAGEUZI ambacho kwangu mimi ndio na kiona chama bora pekee nchini baada ya CCM CHAMA DUME

Hebu fikiria ili kupata mvuto chadema wameanza kuahidi uvunjifu wa sheria kama vile kupika gongo ili kuwafurahisha wavunjaji sheria, kesho chadema watatuambia bange ruksa, na hata biaSHr Y ngono ruksa wakichukua nchi ili wapate kura zaidi

JITAMBUE!

Uchambuzi kutoka kwa Dr Rambirambi
 
Back
Top Bottom