Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi .
Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari kumkabidhi mtu au kikundi Cha watu Nchi .
Hivyo Mbali na Mapungufu na Umaskini Mkubwa tulio upata Chini ya CCM ,bado ni Chama chenye uafadhali kuliko vingine .
Kama itatokea NCCR Mageuzi watajipanga vizuri ni Bora wakapewa Nchi tukaondokana na huu Utawala Mbovu wa CCM na sio vyama vingine vilivyopo kwa sasa .