NCCR Mageuzi na CCM ndio vyama pekee vyenye Uwezo wa kupewa Nchi, Watanzania msidanganyike

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,173
1,952
Uongozi wa kuongoza makondoo una shida gani boss? Unataka kufanya kuongoza ni jambo gumu sana. Ukiona mtu anasema kuongoza ni kugumu ujue kaingia kwenye madaraka kwa kushurutisha ili kusaka ulaji, lakini hana Karama ya uongozi.
Sawa
 
Wakabambee58

JF-Expert Member
Aug 14, 2020
482
653
Ni Bora ukaicha CCM hii mbovu kuliko Chama Cha mtu mmoja anaejiita kiongozi mkuu wa Chama yaani haguswi
CCM ilishushwa toka mbinguni au ni kikundi cha wa chache kilichoanzisha chama cha TAA baadaye kikajigeuza kama kinyonga na kujita TANU,?
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,221
10,534
Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi .

Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari kumkabidhi mtu au kikundi Cha watu Nchi .

Hivyo Mbali na Mapungufu na Umaskini Mkubwa tulio upata Chini ya CCM ,bado ni Chama chenye uafadhali kuliko vingine .

Kama itatokea NCCR Mageuzi watajipanga vizuri ni Bora wakapewa Nchi tukaondokana na huu Utawala Mbovu wa CCM na sio vyama vingine vilivyopo kwa sasa .​

Unazunguka tuu Seema huioendi chadema. Yani nyuzi za chadema ni nyingi sio mfano hapa jf. Chadema inazungumziwa kuliko chochote.
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,221
10,534
Cc
Ni Bora ukaicha CCM hii mbovu kuliko Chama Cha mtu mmoja anaejiita kiongozi mkuu wa Chama yaani haguswi

CCM ya mikopo na tozo. CCM inatawala sio kuongoza. Ndio maana waziri anasema wasiooenda too wahamie Burundi.
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,221
10,534
Kijana Uongozi si sawa na kwenda chooni kujisaidia kwamba kila mtu anaenda ni mgumu sana .

Kwa hivyo CCM Wana karma ya uongozi? Chama bado kinategrmea kutembeza bakuli ili kipate maendeleo.
 
Havizya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
499
702
Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi .

Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari kumkabidhi mtu au kikundi Cha watu Nchi .

Hivyo Mbali na Mapungufu na Umaskini Mkubwa tulio upata Chini ya CCM ,bado ni Chama chenye uafadhali kuliko vingine .

Kama itatokea NCCR Mageuzi watajipanga vizuri ni Bora wakapewa Nchi tukaondokana na huu Utawala Mbovu wa CCM na sio vyama vingine vilivyopo kwa sasa .​
Akili yako ndogo, nayo uneamua kuipa likizo ndefu, pole sana
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom