NBS Mwanza Toeni ya Wadadisi HBS, kama DSM

Ukiona hukuitwa hata kwenye usaili ujue ulikua huna sifa!
acha kujifariji kaka. dsm waliita watu karibia elfu tatu, wamefanyiwa usaili kila mtu ameridhika. why hii hawataki kufanya mikoani, kuna siri gani? jiulize
 
Dar wamefanya vizuri sana kwani siku moja baada ya written wameita oral.
jana watu wamefanya oral pale DUCE
Sasa mbona wamefanya fasta fasta usaili wa written na oral af wamekausha hawajatoa majibu? Au ndo hivo watu washaitana jwa simu wao kwa wao, maana mdogo wangu alikuwa mmojawao alofanya oral ila majina naona hayawekwi mpaka sasa wiki inakatika sasa.
 
Ukiona hujaitwa jua umekosa kila kata ilihitaji mtu mmoja tu ahsante
 
Sasa mbona wamefanya fasta fasta usaili wa written na oral af wamekausha hawajatoa majibu? Au ndo hivo watu washaitana jwa simu wao kwa wao, maana mdogo wangu alikuwa mmojawao alofanya oral ila majina naona hayawekwi mpaka sasa wiki inakatika sasa.
Ase ss huku mwanza n km week ya 3 toka oral interview ifanyike lkn kimy had sasa, ww vp huko majina yametoka mkoa gn???
 
Hayajatoka hapa dar, selewi labda kuna njia nyengine wanayotumia tofauti na kuweka majina kwenye web yao kama kama walivofanya kwenye usahil
 
Mmh kwan majibu ya oral tayar nchi nzima
Ndo hicho nachouliza, kweny interview walifanya fasta leo written kesho kutwa oral, sasa majibu mbona yamekawia
 
Back
Top Bottom