NBS Mwanza Toeni ya Wadadisi HBS, kama DSM

Misungwi Yetu

Senior Member
Oct 7, 2017
103
39
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) -Mwanza, tunawaomba mtoe majina ya waombaji ambao wamechaguliwa kufanya usaili kwa nafasi za Udadisi katika Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi ( Household Budget Survey - HBS).

Fanyeni kama walivyofanya katika Mkoa wa Dar es Salaam. Tukifika ofisini kwenu kuulizia hamtoi ushirikiano wowote, toeni majina jamani tumesubiri sana. Maisha magumu huku kijijini mjue
 
Sio mwanza tu mkuu nahisi walistopisha mikoa yote wakisubiri dar wafanye usaili wao ndio watoe majina yote mkuu kua na subra watatoa
 
Sio mwanza tu mkuu nahisi walistopisha mikoa yote wakisubiri dar wafanye usaili wao ndio watoe majina yote mkuu kua na subra watatoa
Dar nasikia walisitisha, sjui hadi lini kama unajua nieleweshe vizur
 
Dar nasikia walisitisha, sjui hadi lini kama unajua nieleweshe vizur
Mbona nasikia kesho wanafanya interview? Ila sjajua kama written au oral kuna uzi nimeusoma wamesemakesho watafanya written inaonesha dar walioonba walikua wengi sana mana mikoani wamefanya oral tu na majibu ndio bado
 
Watu mbona mko nyuma sana usaili ni kesho tarehe 9/10/2017 na majina hayo hapo
 
Attachments

  • wito+wa+usaili+-+HBS+-+DSM.pdf
    1.5 MB · Views: 77
h
Sio mwanza tu mkuu nahisi walistopisha mikoa yote wakisubiri dar wafanye usaili wao ndio watoe majina yote mkuu kua na subra watatoa
uku mwanza waliitwa lini kwenye huo usaili? mbona huku misungwi hatujaambiwa chochote tulio omba hiyo kazi jamani?
 
mkuu wa mkoa wa mwanza tunaomba utusaidie, hawa nbs mwanza pia watoe majina yote ya walioitwa kwenye usaili
 
RC Mwanza tunaomba utusaidie watoto wa wakulima huku vijijini tunanyiwa fursa. NBS Mwanza nao watoe majina yote kama walivyofanya DSM, tukashindiwe huko kwenye usaili na sio kuweka watu wao kama walivyofanya sasa
 
Back
Top Bottom