NBS Mwanza Toeni ya Wadadisi HBS, kama DSM

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) -Mwanza, tunawaomba mtoe majina ya waombaji ambao wamechaguliwa kufanya usaili kwa nafasi za Udadisi katika Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi ( Household Budget Survey - HBS).

Fanyeni kama walivyofanya katika Mkoa wa Dar es Salaam. Tukifika ofisini kwenu kuulizia hamtoi ushirikiano wowote, toeni majina jamani tumesubiri sana. Maisha magumu huku kijijini mjue
Haya majina nbs HBS magari ya kule tabora
 
Mbna Mwanza usaili ulishafanyika, saizi tunasubiri majibu hii n week ya 2 hawajatoa majibu kwa waliofuzu
tunataka mchakato uwe kama wa dsm. watoe majina yote ya walioitwa kwenye usaili, wamepandikiza watu wao
 
Shost sisi tumepiga makelele hadi wakarudia usaili wa Dar kwa kutoa majina yote ya walioitwa kwenye usaili, nanyie pambaneni sana. NBS ujanja ujanja mwingi
 
Mbna Mwanza usaili ulishafanyika, saizi tunasubiri majibu hii n week ya 2 hawajatoa majibu kwa waliofuzu
Karibu nchi nzima hakuna matokeo ya hbs yaliyotolewa kwenye mikoa waliofanya usaili had sasa
 
Waliandika jamani kwenye tangazo only shortlisted candidates ndio wataitwa kwenye usaili ukiona hujapigiwa jua umekosa hivo
 
Kwa aliyewai kufany kazi na NBS atujuze utaratib wa malipo yao upo
1. N posho
2 . Ujira wa mwezi na n kias gn
 
Waliandika jamani kwenye tangazo only shortlisted candidates ndio wataitwa kwenye usaili ukiona hujapigiwa jua umekosa hivo
jamani kwanini sasa wafanye usaili wa kihuni? si wangeita kama dsm? ngoja nimuombe baba yetu RC atusaidie tu, hakuna namna
 
jamani wakiita watu kwenye usaili mtustue humu..wengine tuko nje ya mkoa wakuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom