NBS Wekeni wazi majina yote ya Wadadisi (HBS) - Kaya na hali ya kipato

Maskini wa Maskini

Senior Member
Aug 29, 2014
120
54
Hawa NBS ni janga kwa kweli, kazi za Enumerator - HBS (Utafiti wa kaya na kipato) wamefanya za kimjuano. Wanatumiana sms wenyewe tuu, Mungu anawaona. Kulikuwa na haja gani basi kusumbua watu wawe na barua za Watendaji wa Vijiji ama Mtaa, wakati wakijua kabisa watapeleka watu wao huko?
Hili li Nchi kwa kweli inabidi tuanze kufikiria kutafuta Uraia wa Nchi nyingine tu

Waweke majina ya Nchi nzima, kama walivyofanya kwa Wadadisi -Kilimo. Wasifanye ujanja ujanja hapa, tumeshawashitukia!!
 
sio riziki yako bana kisicho riziki hakiliki ndugu yangu kua mstahmilivu usichoke kutafta kwengine huwezi jua Allah alipokupangia kupata

Angalau hata wangeweka wazi majina ya wanaosemekana kupigiwa simu ama kutumiwa sms ili tujiridhishe, hawa watu janja janja nyingi asikuambie mtu mpendwa
 
Hawa NBS ni janga kwa kweli, kazi za Enumerator - HBS (Utafiti wa kaya na kipato) wamefanya za kimjuano. Wanatumiana sms wenyewe tuu, Mungu anawaona. Kulikuwa na haja gani basi kusumbua watu wawe na barua za Watendaji wa Vijiji ama Mtaa, wakati wakijua kabisa watapeleka watu wao huko?
Hili li Nchi kwa kweli inabidi tuanze kufikiria kutafuta Uraia wa Nchi nyingine tu
Mkoa gani wametumiwa sms mkuu?
 
Angalau hata wangeweka wazi majina ya wanaosemekana kupigiwa simu ama kutumiwa sms ili tujiridhishe, hawa watu janja janja nyingi asikuambie mtu mpendwa
kuna ndugu yangu amepigiwa leo simu kuitwa kwenye usaili huo wa kaya utakaofanyika ijumaa hii saa mbili asubuhi mkuu ni riziki tu pengine haikupangwa iwe yako hata

ikipangwa iwe yako hata uwe kwenye shimo itakufikia tu
 
Mmh, usiwatete basi. Tunachopigia kelele hapa ni Ukweli na Uwazi, kwanini iwe gizani? Jiulize
 
kuna ndugu yangu amepigiwa leo simu kuitwa kwenye usaili huo wa kaya utakaofanyika ijumaa hii saa mbili asubuhi mkuu ni riziki tu pengine haikupangwa iwe yako hata

ikipangwa iwe yako hata uwe kwenye shimo itakufikia tu
Mkoa gani waliopigiwa simu mkuu?
 
Back
Top Bottom