Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
- Thread starter
- #61
sawa kimada.
Ugonjwa siyo kulazwa tu hospitalini. Mr.Junior acha uzuzu wewe andika ujumbe wenye mantiki siyo uduwanzi wako huo.
sawa kimada.
sawa kimada.
Wewe pia ni kimada wake uliyepewa nyumba?
mbona uanshabikia sana ukimada? Tabia ya ukimada peleka kwenu. Au wewe ni kimada wa jamaa yako? Hapa tunakazi ya uchaguzi wewe unaleta mambo ya ukimada, ndorobo wewe.
Wewe pia ni kimada wake uliyepewa nyumba?
Usichoelewa ni nini ni kwamba Magufuli ni mkuu sana katika wagombea wote hakuna anayemkaribia. Ni Rais tu.Sikuelewi Bobby, hebu funguka nikupate kisawa sawa.
Magufuli tuu hakuna mwngne
Majengo, kiborloni, pasua, soweto, msaranga, dar street, kcmc, mabogini, majengo kwa mtei na maeneo mengine ya moshi mjini, tulimwelewa vema Magufuli ndiyo maana tatamchagua awe Rais wa Tanzania.
sema NITAMCHAGUA sio tutamchagua, hata mkeo mwenyewe hampi kura mosha.
Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
sema NITAMCHAGUA sio tutamchagua, hata mkeo mwenyewe hampi kura mosha.
Mbona uanshabikia sana ukimada? Tabia ya ukimada peleka kwenu. Au wewe ni kimada wa jamaa yako? Hapa tunakazi ya uchaguzi wewe unaleta mambo ya ukimada, ndorobo wewe.
pole braza.
hapa kazi tu.