Kevoo_keroo
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 771
- 163
magufuli ndiye rais
Okay.... Let's wait
Valentina, kaa mkao wa kula maana anakuja mara tu baada ya uchaguzi kupita. NEC hawatakuwa wachoyo kufanya kazi yao kisheria.
Lazima atatoa kweli povu, maana hata jana BBC aliwadhihirishia Watz kwamba mtatoka sana povu maana yeye ameamua kurudi kuchunga ng'ombe wake. Sijui wewe utakuwa na hali gani maana kama sasa unatoa mapovu kiasi hicho si utatoa upepo maana umekujaa sana?
NIPO MOSHI HUYO MOSHA HAWEZ SHINDA HATA AOMBE KURA UCHI. By the way mji wa mosh hauna kero zaid ya mja ya wauza mitumba na tayar ndesa pesa kashajenga soko la kisasa maeneo ya kb. mosha hahitajiki moshi atafanywa alichofanyiwa mama minde subir j2
Thank you. Hawa wajamaa hapa wanaleta ushabiki tuu, CCM kushinda Moshi ni ndoto. Ndesamburo hata kama alikua anawafuata vijana wakitoka Bungeni, amefanya kazi na watu wameiona. Kiti amemuachia Jafari sasa hivi. Huyo Mosha yatamkuta yaliyomkuta Salakana na Mama Minde. Watu wa Moshi wanajitambua hawafuati mkumbo.
Nina imani na Lowassa oya oya oyaa!
Lowassa kweliiii.... Kweli kweli kweli Lowassa kweliiii
Tushirikiane kuimba basi
Kweli nina imani na Magufuli yeye anatosha, wengine wa nini. Ukisema lowasa tambua hiyo ni "shake well before use", hatari yake ni kwamba ogopa dawa feki "Lowasa" itaongeza matatizo ya Tanzania.
Lowasa ni shiiiida!
We sasa naona tunapishana lugha. Hebu nipishe nile muhogo wangu mie
Kula muhogo wako, maana unatakiwa usichangie na mtu huo mhogo ila kura kampigie Magufuli siku ya 25/10/2015
Mahaba yangu ni kwa Lowassa
Haaaaaaa! 'Valentina' ulinimbia unaenda kula mhogo, mbona umerudi? Magufuli hoyeeee
Acha pumba zako hapa wewe.
sawa kimada.