Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
- Thread starter
- #101
Nitamkosa sana magufuli na maigizo yake.sijui atarudi chato au atabaki DAR baada ya kupigwa chini 25/10/.nasikia ni mkulima mzuri wa pamba.
Dr. Magufuli alisema kuwa mji wa Moshi unachangamoto nyingi zinahitaji kutatuliwa, wamchague awe Rais arekebishe yaliyosahaulika na wakazi wa Mji huo maana mwakilishi wao aliyetangulia alikuwa mtokaji mzuri bungeni akiwafuata vijana bila kutambua anawaathiri wananchi wa mji wa Moshi.
Alisema "Moshi hoyeeee, chagua Magufuli kuboresha mji wa Moshi, Mosha nikimaanisha mgombea ubunge wa jimbo la Moshi, Moshi-Mosha, Mosha-Moshi. Nileteeni Mosha Tufanye kazi mana kwangu Hapa ni Kazi Tu!"