Nayakumbuka maneno ya Magufuli vema

Nayakumbuka maneno ya Magufuli vema

Bukama Batoko

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
820
Reaction score
137
Dr. Magufuli alisema kuwa mji wa Moshi unachangamoto nyingi zinahitaji kutatuliwa, wamchague awe Rais arekebishe yaliyosahaulika na wakazi wa Mji huo maana mwakilishi wao aliyetangulia alikuwa mtokaji mzuri bungeni akiwafuata vijana bila kutambua anawaathiri wananchi wa mji wa Moshi.

Alisema "Moshi hoyeeee, chagua Magufuli kuboresha mji wa Moshi, Mosha nikimaanisha mgombea ubunge wa jimbo la Moshi, Moshi-Mosha, Mosha-Moshi. Nileteeni Mosha Tufanye kazi mana kwangu Hapa ni Kazi Tu!"
 
Majengo, kiborloni, pasua, soweto, msaranga, dar street, kcmc, mabogini, majengo kwa mtei na maeneo mengine ya moshi mjini, tulimwelewa vema Magufuli ndiyo maana tatamchagua awe Rais wa Tanzania.
 
Dr. Magufuli alisema kuwa mji wa Moshi unachangamoto nyingi zinahitaji kutatuliwa, wamchague awe Rais arekebishe yaliyosahaulika na wakazi wa Mji huo maana mwakilishi wao aliyetangulia alikuwa mtokaji mzuri bungeni akiwafuata vijana bila kutambua anawaathiri wananchi wa mji wa Moshi.

Alisema “Moshi hoyeeee, chagua Magufuli kuboresha mji wa Moshi, Mosha nikimaanisha mgombea ubunge wa jimbo la Moshi, Moshi-Mosha, Mosha-Moshi. Nileteeni Mosha Tufanye kazi mana kwangu Hapa ni Kazi Tu!”

Lowassa atawatoa sana povu mwaka huu!!
 
Lowassa atawatoa sana povu mwaka huu!!

Lazima atatoa kweli povu, maana hata jana BBC aliwadhihirishia Watz kwamba mtatoka sana povu maana yeye ameamua kurudi kuchunga ng'ombe wake. Sijui wewe utakuwa na hali gani maana kama sasa unatoa mapovu kiasi hicho si utatoa upepo maana umekujaa sana?
 
Kuelewa Aidia ni suala lingine na kupiga kura ni suala lingine. Sasa wewe jumapili wahi kituo chako cha kupigia kura ili ukampigie kura Rais wetu mtarajiwa Magufuli.
Asante nitawahi na nyumba yangu na jirani.Rais ni Magufuli.
 
Vimada na wazazi wenza (baby mamas). Mgombea urais ana vimada lukuki na watoto wa nje ya ndoa-Kenya paoja na mambo yao wasingeruhusu huu uchafu.

Sikuelewi Bobby, hebu funguka nikupate kisawa sawa.
 
Vimada na wazazi wenza (baby mamas). Mgombea urais ana vimada lukuki na watoto wa nje ya ndoa-Kenya pamoja na mambo yao wasingeruhusu huu uchafu.

Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 
NIPO MOSHI HUYO MOSHA HAWEZ SHINDA HATA AOMBE KURA UCHI. By the way mji wa mosh hauna kero zaid ya mja ya wauza mitumba na tayar ndesa pesa kashajenga soko la kisasa maeneo ya kb. mosha hahitajiki moshi atafanywa alichofanyiwa mama minde subir j2
 
hakika magufuli atakuwa ndiye kiongozi na rais wa kutuvusha na kuondoa ombwe la rushwa na kuhakikisha maisha ya kia mtanzania yanasonga mbele
 
fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa fisadi wa ndoa
 
NIPO MOSHI HUYO MOSHA HAWEZ SHINDA HATA AOMBE KURA UCHI. By the way mji wa mosh hauna kero zaid ya mja ya wauza mitumba na tayar ndesa pesa kashajenga soko la kisasa maeneo ya kb. mosha hahitajiki moshi atafanywa alichofanyiwa mama minde subir j2

Unahaha nini? Maneno gani sasa haya "mja ya wauza" MINJA VINCENT usijae upepo na kuzungumza maneno yasiyo na staha. Minja, siku hizi umeanza hata kuomba kura ukiwa kwenye hali hiyo? "KURA UCHI" Huo ni ushirikina kalale babangu, hapa hupawezi maana "Hapa Kazi Tu!"
 
hakika magufuli atakuwa ndiye kiongozi na rais wa kutuvusha na kuondoa ombwe la rushwa na kuhakikisha maisha ya kia mtanzania yanasonga mbele

Angefanya hayo kwenye wizara alizoongoza ungekuwa kusahihi kuota hizo ndoto. Wizara anayoingoza mpaka sasa japo kwa makosa ina hati chafu ya ukaguzi (Qualified Opinion). Zaidi ya billion 350 hazina maelezo zimetumika vp na kuna penalties zenye thamani ya billion 900 za kulipwa makandarasi kutokana na uzembe mbalimbali. Kama wizara imemshinda kwanini serikali aiweze?
 
Back
Top Bottom