Nayakumbuka maneno ya Magufuli vema

Nayakumbuka maneno ya Magufuli vema

peleka kwa wakongo wenzio Huko!! Halafu mtu Kama wewe unakuta unaishi alipoolewa dada yako!
Ahaaaaa! Kumbe Mkongo eeee, ona hata jina lenyewe "Mgibeon" Chunga sana muda wako wa kurudikwenu umewadia.
 
Ni neno jema kumshukuru sana kwa kuwa Tanzania inakaribia kuimba wimbo wa ushindi wa Magufuli kuwa Rais wa Awamu ya Tano kwa kura zake kutosha na kugaragaza Lowasa vibaya kwa kura zake kutotosheleza.

Maagufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Hapa ni magufuli tuu,mseme msemavyo tutamchagua na atashinda kwa kishindo kikubwa.HAPA KAZI TUU.ccm oyeee
 
hapakazitu

12122547_903630489718847_713999003090196057_n.jpg
 
Back
Top Bottom