Nayakumbuka maneno ya Magufuli vema

Nayakumbuka maneno ya Magufuli vema

Angefanya hayo kwenye wizara alizoongoza ungekuwa kusahihi kuota hizo ndoto. Wizara anayoingoza mpaka sasa japo kwa makosa ina hati chafu ya ukaguzi (Qualified Opinion). Zaidi ya billion 350 hazina maelezo zimetumika vp na kuna penalties zenye thamani ya billion 900 za kulipwa makandarasi kutokana na uzembe mbalimbali. Kama wizara imemshinda kwanini serikali aiweze?

Pole!!....Kwahiyo wewe unaamini yule mzee aliyeachia ngazi kwa kashfa ya UFISADI ataiweza hii nchi?
 
Magufuli
 

Attachments

  • 1445506157687.jpg
    1445506157687.jpg
    48.5 KB · Views: 160
Magufuli the best

Mbowe, Lissu, Msigwa, Lema, Mdee na wengine wengi wanalijua hilo ndiyo maana wamebana weee kimya, wanajua waliyoyasema na kwa sasa ndiyo maneno yao hayo hayo ndiyo yanakikaanga chama chama chao.

Jamani "Mdomo huumba na mdomo huua", CDM wamejiua wenyewe na kujikanga kwa mafuta yao. Ooooooh! Fisadiiiiiiiiiiiiii! Leo ndani ya nyumba yao. Waseme sasa tena maneno waliyokuwa wanayyasema hovyo hovyo.
 
Kila kona ya Tanzania anayopita, Dr. Mgufuli anazidi kuchanja mbuga na kuteka ngome za upande wa pili ambao unaundwa na genge la ukawa. Mfano mzuri ni Dar, Mwaz, Ar, Mo town, mbeya, Iringa, Karatu, Lindi, Mtwara na sehemu nyinginezo.

Tar 25/10/2015 mpiga kura kamilisha kazi yako ya kupiga kura kwa kumpigia kura ya ndiyo Rais mtarajiwa Magufuli.
 
Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 
Back
Top Bottom