Nawezaje tumia MB 490 Kwa wiki nzima

Nawezaje tumia MB 490 Kwa wiki nzima

Usiwashe data kwa siku 6 na masaa 21 masaa mawili yatakayobaki ndo uwashe data
 
Kutumia 500M inabidi ujitese kama umezoea mitandao, inabidi
1/Utumie sana mitandao ya maneno tu kama Jamiiforums na WhatsApp, only texts in WhatsApp
2/Inabidi uzime na kuwasha Data Killamara mfano ukishagungua uzi unazima data unasoma wee ukitaka kuingia page nyengine unawasha the off
3/Freeze YouTube, IG na X
4/Delete all App running at the back

Mbali na hapo hakuna njia nyengine
Usisahau na kuwasha data saver ili kuzuia zile apps zinazotafuna data background.
 
Back
Top Bottom