Nawezaje tumia MB 490 Kwa wiki nzima

Nawezaje tumia MB 490 Kwa wiki nzima

Kwa matumizi ya kawaida, unaingia Jamii forum, Facebook na site mbali mbali, ila hauwezi tu kuingia YouTube, WhatsApp n.k
Mimi hii ilinifaa Sana.
Kwa ufupi ni simu kwa ajili ya mtu anayependa kusoma soma, siyo mtu anayependa kuangalia video.
Chaji kama unavyojua Tecno za Batani unakaa hata siku 5 na mziki unasikiliza.View attachment 2883530
mkuu mim tangu 2017 niliachana na smartphones baada ya mabando kupanda maana mim ni mlevi sana wa internet so nilikuwa napoteza pesa nyingi kwa bundles nikaona nihamie kwa nokia zile za batani. Nimetumia nokia c3, nokia e5, nokia asha. Sasa zikaja zikapigwa pin nikahamia kwenye hivi vi tecno vya batani vyenye operamin.
Kwa sasa nina kitecno t475 naserereka nacho najaza tu vocha ya buku sijiungi yani hiyo buku mpaka iishe ni zaidi ya mwezi. Ila sasa changamoto nikwamba member akiandika coment akaweka na vi emoj, coment inakuwa haionekani kbs
 
Wewe ni mimi kabisa. Mimi nimetumia NOKIA C2, then nikahamia TECNO T402 ya laini 3 na sasa ninayo T375 ya laini 3 na smartphone moja.

Uzuri wa hizi ukinunua bundle la intaneti la wiki humalizi yaani wiki inaisha lakini wewe unakuta umetumia MB 100 tu.

Kwa hiyo mi solution nikawa naweka tu muda wa maongezi then natereza kavu. Baadaye nikapa solution ya TTCL naunga MB za BUFEE hata za 500 natumia sa
 
Desktop yako itakuwa ina run windows 7, 8 au xp ambazo zimefikia ukomo wa kupokea updates

Kwa windows 10 na 11 ni ngumu kutoboa na 490 kwa wiki labda kama umeiset kwa mitered connection
Hadi nimeshangaa,

Nina window 10, nikiconnect to data hata kama sijafungua website yoyote baada ya dakika 30 hizo zishakata
 
Wewe ni mimi kabisa. Mimi nimetumia NOKIA C2, then nikahamia TECNO T402 ya laini 3 na sasa ninayo T375 ya laini 3 na smartphone moja.

Uzuri wa hizi ukinunua bundle la intaneti la wiki humalizi yaani wiki inaisha lakini wewe unakuta umetumia MB 100 tu.

Kwa hiyo mi solution nikawa naweka tu muda wa maongezi then natereza kavu. Baadaye nikapa solution ya TTCL naunga MB za BUFEE hata za 500 natumia sa
Nakushari uwe unanunua kile kisichoisha muda
 
Kutumia 500M inabidi ujitese kama umezoea mitandao, inabidi
1/Utumie sana mitandao ya maneno tu kama Jamiiforums na WhatsApp, only texts in WhatsApp
2/Inabidi uzime na kuwasha Data Killamara mfano ukishagungua uzi unazima data unasoma wee ukitaka kuingia page nyengine unawasha the off
3/Freeze YouTube, IG na X
4/Delete all App running at the back

Mbali na hapo hakuna njia nyengine
 
Wewe ni mimi kabisa. Mimi nimetumia NOKIA C2, then nikahamia TECNO T402 ya laini 3 na sasa ninayo T375 ya laini 3 na smartphone moja.

Uzuri wa hizi ukinunua bundle la intaneti la wiki humalizi yaani wiki inaisha lakini wewe unakuta umetumia MB 100 tu.

Kwa hiyo mi solution nikawa naweka tu muda wa maongezi then natereza kavu. Baadaye nikapa solution ya TTCL naunga MB za BUFEE hata za 500 natumia sa
wew nikutia vocha tu usiunge bando. Kama una unga bando liwe tu la muda wa maongezi lkn kama ni mb wew kwangua tu tia vocha usiunge
 
Kutumia 500M inabidi ujitese kama umezoea mitandao, inabidi
1/Utumie sana mitandao ya maneno tu kama Jamiiforums na WhatsApp, only texts in WhatsApp
2/Inabidi uzime na kuwasha Data Killamara mfano ukishagungua uzi unazima data unasoma wee ukitaka kuingia page nyengine unawasha the off
3/Freeze YouTube, IG na X
4/Delete all App running at the back

Mbali na hapo hakuna njia nyengine
Hii ni discipline ya hali ya juu
 
Unaeza kutumia ila usome maandishi tu ile unamaliza kusoma unazima data
 
Back
Top Bottom