Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Dawa ya mapenzi ni mapenzi, dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie....pendeza, jipodoe podo....zile nguo za sikukuu zivae kila siku.....kuwa msafiii, punguza makorokoro ndani.....jitoe out, anza kudate, tena huyo utayempata mpe yote....vingine usivibanie🤣🤣

Usiposahau njoo nikupeleke Kwa mtaalamu tukaangalizie😜
Huu sasa ndio ushauri...yeye akamsusie mtu hiyo mbususu basi
 
Nahitaji kusahau moment zote za nyuma, nifanyaje niweze kusahau kila kitu kuhusu mahusiano ya nyuma (ndoa)?
Chukua muda kuzipumzisha hisia na zile kumbukumbu zinapokujia usizizuie ziache na hata kama zinakuumiza ziache usizizuie kwakuwa huo ndio mchakato wa kupona
BTW hakuna kitakachokuponya na maumivu hayo zaidi ya muda
 
Dawa ya mapenzi ni mapenzi, dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie....pendeza, jipodoe podo....zile nguo za sikukuu zivae kila siku.....kuwa msafiii, punguza makorokoro ndani.....jitoe out, anza kudate, tena huyo utayempata mpe yote....vingine usivibanie🤣🤣

Usiposahau njoo nikupeleke Kwa mtaalamu tukaangalizie😜
Kweli wewe ni Mamy K
image.jpeg
 
Hakikisha kijeba kipya kina pesa za kumzidi, ufundi wa kumzidi, muonekano wakumzidi.. ndo ponea yako lasiivo uta cheat buree

Mwanamke ukimuonjesha lift ya brevis, corolla anaona ya kazi gan, ukimlaza kempisky tu kivulini lodge ya ndugu Ally Px na Naa wake anaona sio hadhi yake... work on ya self n steadily upgrade, we goin up bby.

Alaf usimpe point 3 kizembe hivo kwan yee nani? Imrad unapumua Mungu hajamalizana na wewe, akwendee. Nyongeza jiunge vicoba.. hyo stress yake hutakumbuka kiumbe wee ni madeni, madeni na wee!
 
Ni muda tuu ndio utakuponya. Katika situation hizi hakunaga cha jikeep bize, sijui fanya mazoez, sijui tafuta replacement, sijui usikae peke yako, wengine huenda mbali zaidi na kujikita kwenye ulevi.

Kwasasa vumilia tuu maumivu. With time utasahau kila kitu. Jipe muda kabla hujaingia kwenye mahusiano mapya.
Kuna hii scenario,mtu mmeachana let's say mfano ni mwanaume na mlizaa watoto yy akaenda kuoa mwanamke meingine ww mwanamke ukawa huna mtu,then huyu mwanaume anakuhudumia kwa kila kitu,watoto wake anapeleka shule pamoja na matumizi anakupa.

Sasa hapa unafanyaje ili umsahau?Na ulikuwa unampenda bado lkn yy Hana muda na ww zaidi ya kutimiza majukumu yake kama mzazi tu na sio mpenzi
 
As a man, najaribu kutafakari kwa mfano huyu dada akifuata huu ushauri wa kutafta njemba ingine ili amsahau jamaa ake, ndo mwanaume unajikuta una date nae hyo emotional baggage unayoenda ku deal nayo kama hauko vizuri mentally na emotionally na wewe pia unaharibikiwa.
I think the best option ingekua tumshauri on how to heal kabisa from this trauma before hajaanza ku deal na wanaume wengine maana pasipo kujua atajikuta anawabebesha mizigo mikubwa ambayo ot may lead to many more problems.
 
Hahaha haya mrembo btw mi hua na tafta zile sifa mbaya zake nazitumia ka weapon ya ku move on😂😂😂
Palina You got a better ways Kipenz🤣🤣🤣👋your the best🫡

Mimi honestly.. Hua najiruhusu kujifeel the way I must feel..Yaan I allow myself to be angry and sad🤦‍♀️

Cz I know.. If you bottle it all up..you'll explode🧕🏻

But I have learned to channel my negative energies into positive things..Don't let it swallow you whole😔

Then I dive into myself..I would read..I would exercise..meditate..and enjoy some alone time😊

Lastly..I plan for my future moves out from there.. Without them..It wont work overnight but in time..it will build back stronger than ever😊🤞
 
Kuna hii scenario,mtu mmeachana let's say mfano ni mwanaume na mlizaa watoto yy akaenda kuoa mwanamke meingine ww mwanamke ukawa huna mtu,then huyu mwanaume anakuhudumia kwa kila kitu,watoto wake anapeleka shule pamoja na matumizi anakupa.

Sasa hapa unafanyaje ili umsahau?Na ulikuwa unampenda bado lkn yy Hana muda na ww zaidi ya kutimiza majukumu yake kama mzazi tu na sio mpenzi
Kama unataka kumsaha mtu completely, kuwa mvumilivu and let everythig flow. Kama kuna ulazima wa kuwasiliana nae, wasiliana nae usimblock. Kama kunaulazima wa kukutana nae kutana nae tuu... maumivu yakizidi kaa, liaa. Ila nakuhakikishia. No matter how long it takes, kuna wakati utafika utazoea, utaongea nae, utakutana nae and it will be like nothing ever happened. Ila you need to be strong hapa mwanzo.
 
Dawa ya mapenzi ni mapenzi, dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie....pendeza, jipodoe podo....zile nguo za sikukuu zivae kila siku.....kuwa msafiii, punguza makorokoro ndani.....jitoe out, anza kudate, tena huyo utayempata mpe yote....vingine usivibanie🤣🤣

Usiposahau njoo nikupeleke Kwa mtaalamu tukaangalizie😜
Weuweww✌✌🙌🤣🤣
 
Kama unataka kumsaha mtu completely, kuwa mvumilivu and let everythig flow. Kama kuna ulazima wa kuwasiliana nae, wasiliana nae usimblock. Kama kunaulazima wa kukutana nae kutana nae tuu... maumivu yakizidi kaa, liaa. Ila nakuhakikishia. No matter how long it takes, kuna wakati utafika utazoea, utaongea nae, utakutana nae and it will be like nothing ever happened. Ila you need to be strong hapa mwanzo.
Yap,nimekuelewa sana mkuu,maana watu wamezoea kuwa wakiachana wana blokiana lkn kuna snario huwezi kufanya hivyo kwa maslahi ya mtoto/ watoto wenu,maana huwezi kuwanyima watoto haki ya kutunzwa na baba yao wakati ana uwezo.

Labda itokee tu baba kakataa kuwatunza
 
Huwezi kusahau kabisa! Jambo la msingi ni kupunguza kuchukulia kwa uzito hizo moments za nyuma . Chukulia kwa maono ya kawaida kwasababu nayo ilikuwa ni sehemu ya maisha.

Kulazimisha kusahau ndio kunakufanya usisahau! Jifunze kutolazimisha kuachilia mambo kwa nguvu ,acha yajitoe yenyewe taratibu.
Akinipata mimi kila kitu atasahau, ntamfanya amuone ex wake nyang'au.../

Penzi likinoga haliwezi kuwa jau, hata nikimpa boga ataona nimempa pilau.../
 
Back
Top Bottom