Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Naomba Msaada simu yangu ina wiki sasa nikifungua data tu inaniletea matangazo ambayo ni pop-up hadi kero na sijui nayatoaje.
Muda mwingine naweza kuwa natuma sms lakini inacancel nachokifanya na kuja hayo matangazo.
Imekua kero sasa naomba msaada nifanye nini ili hayo matangazo yasijitokeze?
THANKS IN ADVANCE
 
Back
Top Bottom