Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

dowoad app inaitwa "adclear" itafute google haiko playstore. hii app ikiwa active iko mfano wa VPN yaani inafunga milango yote ya ads hadi zile ads kwenye video za yutube hutoziona tena. trust me.

kama umenipata lete mrejesho.
Kama una link ntupie mkuu naona siipati
 
Wakuu nnatumia android ina kera sana ina pop advertisement nikiwasha tu data, nimejaribu namna ya kutoa nimeshindwa msaada tadadhali.
Tumia hii app ya Trojan killer ni nzuri niliwahi kuitumia kwenye SONY xperia fulani hivi ikawa inatoa hizo pop-ups ad

8f61e29d546a780e09c6835fe7d69a2e.jpg
 
dowoad app inaitwa "adclear" itafute google haiko playstore. hii app ikiwa active iko mfano wa VPN yaani inafunga milango yote ya ads hadi zile ads kwenye video za yutube hutoziona tena. trust me.

kama umenipata lete mrejesho.
mkuu share link basi kurahisisha
 
Nakumbuka mwaka flan nilikuwa nna Tecno m3 kipind hicho ndo zilikuwa zimetoka, baada ya kudownload application ovyoo ovyo Google nikajikuta nimedownload had virus yan ilikuwa nikiwasha data had bundle linakata au nitoe betri ni full matangazo tena mengi ya video za X, niliiroot nikafuta baadhi ya bloat ikawa afadhali hata naweza chat whatsapp
 
yaani bwana adclear unashare nae mawasiliano yako ya msingi.
wewe umeelewa vingine
kumonitor mawasiliano yako ni kuzuia hayo matangazo na mavirus na sio vingine
sasa atawezaje kuzuia hizo ads bila ya kumonitor mawasiliano ya kwenye device yako.
 
wewe umeelewa vingine
kumonitor mawasiliano yako ni kuzuia hayo matangazo na mavirus na sio vingine
sasa atawezaje kuzuia hizo ads bila ya kumonitor mawasiliano ya kwenye device yako.
hiyo lugha ya malikia ndgu yangu!!!!!
hataree.
 
Back
Top Bottom