Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Karibu sana
Hapa vipi natakiwa kuingiaa wapi
Screenshot_20170428-131404.png
Screenshot_20170428-131807.png
Screenshot_20170428-131820.png
kwa hapa nikiangaliaa nikiingia kwa millard ayo kuna matangazo hayo
Screenshot_20170428-131904.png
Screenshot_20170428-131910.png
 
Hapa vipi natakiwa kuingiaa wapiView attachment 502142View attachment 502143View attachment 502144 kwa hapa nikiangaliaa nikiingia kwa millard ayo kuna matangazo hayo View attachment 502146View attachment 502148
Oky.
HAPA NI MUHIMU KUZINGATIA KWENYE APP HIYO UNAYOTAKA KUTOA MATANGAZO ITAONDOA MATANGAZO YALIYOKO KWA CHINI YA APP NA SIO YALE YALIOKO NDANI YA MAKALA ZA APP HIYO.
1. Ingia kwenye app ya Lucky Patcher kisha tafuta app unayotaka kutoa matangazo.
2. Kisha chagua OPEN MENU OF PATCHES
3. Bofya Create Modified APK Files
4. Kisha chagua APK WITHOUT GOOGLE ADS
5. Malizia kwa kubofya REBUILD THE APP

Natumain hii itakusaidia, Angalia Video hapo juu au soma hapa kujifunza kwa urahisi.
 
Ubarikiwe kaka nashukuru
 
Mwisho wa matangazo root simu yako download Adblock au Adclear hakuna hata tangazo litakalojaribu kutangaza kwenye simu yako mimi nimefanya hivyo nimekomesha matangazo kabisa
 
Wakuu nnatumia android ina kera sana ina pop advertisement nikiwasha tu data, nimejaribu namna ya kutoa nimeshindwa msaada tadadhali.
 
dowoad app inaitwa "adclear" itafute google haiko playstore. hii app ikiwa active iko mfano wa VPN yaani inafunga milango yote ya ads hadi zile ads kwenye video za yutube hutoziona tena. trust me.

kama umenipata lete mrejesho.
 
Sawa mkuu ngoja nifanye ivo
 
Back
Top Bottom