Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Hao ni Viruses , I flash na tatzo litakwisha

Send from Nokia batani
 
Hizo ad zinatokea wapi? Kwenye notification bar?
Kama ndio....jaribu ku press and hold kwa sekunde kadhaa itakuonyesha ni app gani inakuletea hayo matanagazo.

Unaweza pia kuifanyia factory reset simu yako, ukajaribu kurudisha apps moja baada ya nyingine ukijipa mda in between kujua ni app gani inakuletea Hizo ads.

***Usisahau ku Save na Ku Back up vitu vyako muhimu. Kabla ya factory reset.***
 
Utakuwa una app kwenye simu yako inayoleta matangazo,sim kama sim haina matangazo.Jaribu kupunguza apps.

Philips X2560
 
Hizo ad zinatokea wapi? Kwenye notification bar?
Kama ndio....jaribu ku press and hold kwa sekunde kadhaa itakuonyesha ni app gani inakuletea hayo matanagazo.

Unaweza pia kuifanyia factory reset simu yako, ukajaribu kurudisha apps moja baada ya nyingine ukijipa mda in between kujua ni app gani inakuletea Hizo ads.

***Usisahau ku Save na Ku Back up vitu vyako muhimu. Kabla ya factory reset.***
kuna app kama fb jmforum n.k na nikitoa lock tuuu matangazo yanakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa ni app ipi naweza itoa au naijua aje wakat app ninazo tumia ni zile za umuhimu tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app

setting then security then device administrator, hapo hakikisha kuna device manager tu by default.

setting then apps then downloaded apps hapo hakikisha app zote hizo ulizidownload, kama kuna suspicious app itoe.
 
hivi jamani nawezaje kuzuia matangazo kwenye simu yangu ya samsung s4

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2017-08-28-11-26-02.png

Mimi yanatokea kama hili na mengineo,
Wewe yanatokea yapi?
 
Back
Top Bottom