power tiller
Member
- Jan 17, 2012
- 13
- 1
thnx guys leo nimejifunza ki2 kipya
kwa mobile users pia namna ya kuandika maandishi bold kama haya yangu,anatype (b)KUBWA(/b) afu badala ya mabano haya ( ) unaweka kama yale ya link[ ] maana again ningeweka hayo hayo maneno ya rangi yangekua bold. Try t out. Kuna Yeyote anataka kujua namna ya kuweka rangi kwa maneno using mobile؟‎?‎؟‎
mimi naomba nisaidie
HAPACheki huu mfano hapa
(url="www.jamiiforums.com") HAPA (/url)
then hapo kwenye mabano ya ( ) badili yawe [ ]
hapo ningeweka moja kwa moja mabano ya [ ] ucngeona,
badala yake ungeona neno HAPA hlf hilo neno litakuwa highlighted na ukilibonyeza lingekupeleka jamiiforums
nadhani nime eleweka jaribu then uniweke hapa nione kama umeweza!
Tchao
niiice
niiice
mkuu nashuru hata rangi najaribu kuku angalizia wakati na reply kwako nimeona,nipo najaribu
kwa mobile users pia namna ya kuandika maandishi bold kama haya yangu,anatype (b)kubwa(/b) afu badala ya mabano haya ( ) unaweka kama yale ya link[ ] maana again ningeweka hayo hayo maneno ya rangi yangekua bold. Try t out. Kuna yeyote anataka kujua namna ya kuweka rangi kwa maneno using mobile؟‎?‎؟‎
(touch.facebook.com/steven.edwardo.58?v=info) hapa [/touch.facebook.com/steven.edwardo.58?v=info]