Nawezaje kumpa mtu link

Nawezaje kumpa mtu link

[/www.jamiiforums.com]HAPA

Dah!! pole sana ndugu yangu. ngoja nikupe maelekezo kwa maneno.
ANZA NA [ HALAFU ANDIKA NENO url HALAFU WEKA = BAADA YA HAPO WEKA ANUANI YAKO YAANI LINK IKIWA NDANI YA FUNGA SEMI NA FUNGUA SEMI MFANO "www.jamiiforums.com" HALAFU WEKA ] BAADA YA HAPO WEKA SASA MANENO AMBAYO UNATAKA MTU AKICLICK YAMPELEKE JWA HIYO LINK BAADA YA KUWEKA HAYO MANENO WEKA [/url] HAPO UTAKUA UMEFANIKIWA. KUMBUKA KUTOWEKA SPACE KATI YA HAYO MANENO NA HIZO ALAMA
Mfano: (url="www.jamiiforums.com")HAPA(/url) HAPO KWENYE MABANO YA ( au ) WEKA MABANO YA [ au ] KAMA MIMI NINGEWEKA MABANO YA [ au] USINGE ONA KITU BALI UNGEONA NENO HAPA LIKIWA LIMEBEBA HIYO LINK YA JF. PIGA ZOEZI UTAFANIKIWA TU MKUU
 
Back
Top Bottom