chrisman49
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 352
- 77
<a href="http//tubidy.com">hapa</a>
chrisman49Dah plz jaman me cjaelew fresh nimetest mara kibao bt imezingua!vp hvo vialama?
Hi Cookie... :mwaaah:chrisman49
Kama njia waliyokupa wadau hapo juu inakuwa ngumu kwako kuielewa kuna njia nyingine iangalie inaweza kukusaidia
Ingia HAPA na usome post #2 imeandikwa na Mwali, ukiyaelewa maelekezo hayo na kufanikiwa usisahau kumgongea like Mwali
{Sio vibaya na Cookie naye ukimgongea like. }
Hi Cookie... :mwaaah:
Hi Cookie :hippie:Hi Mwali !
Mambo vp? ohh kabla RussianRoulette na jeshi lake hawajani ban kwa kuchakachua mada
Back to the topic
Vipi na wewe unatatizo kama la huyo Mwanzisha Mada? soma post #2 HAPA
chrisman49Hi Cookie :hippie:
chrisman49
Mbona hujarudi kusema kama umefanikiwa tatizo lako la kumpa mtu link?
RussianRoulette
ca va? mbona siku kule darasa sioni kitu?
Mkuu mbona ts easy,weka link kati kwenye sehem niliyoandika link hapo (url)LINK(/url) alafu badala ya mabano haya () weka [ ]. Jaribu kutype ki2 kwenye red hapo afu ubadili mabano then upost uone,hiyo neno hapa ni watu wanatest kutype kama ndo link,haihucki.