kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,514
- 7,909
Kwani ww umeona nn? Weka hapa screenshotNilitakiwa kuona Nini? Nisaidie hapo
Wacha ni download hio CPU z. But so far battery hapana, heri ningeendelea ni Infinix yanguDownload hiyo cpu z utapata majibu ya uhakika zaidi, simu za china kuna baadhi ya test zinagoma.
Pia charge hebu cheki kama iko updated mpaka android version ya mwisho na updates zote za app
Mbona kama yenyew.. weka cpu za tuone kwanzaWacha ni download hio CPU z. But so far battery hapana, heri ningeendelea ni Infinix yangu
View attachment 2028567
Yenyew mkuu..hii simu kali kuliko infinix yoyote unayotaka kufananisha...
Hebu angalieni hapa wakuuYenyew mkuu..hii simu kali kuliko infinix yoyote unayotaka kufananisha...
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app