Nawezaje kujua hii simu kama ni Original, Fake au copy?

Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
45,525
2,000
Sio mawe kapigwa anajifariji tu hio simu laki 6 unaipata tena na mb za ziada za kutosha kutoka tigo
Mpwa sinunuagi simu za promotion! Kupigwa ni pale mtu unapokua na pesa ya mawazo! Kama pesa Iko kwa bajeti hio huwezi kuwa na mawazo ya kupigwa! Nimethinitisha simu ni OG....inatosha kwa sasa!
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
3,420
2,000
Mpwa sinunuagi simu za promotion! Kupigwa ni pale mtu unapokua na pesa ya mawazo! Kama pesa Iko kwa bajeti hio huwezi kuwa na mawazo ya kupigwa! Nimethinitisha simu ni OG....inatosha kwa sasa!
Usipaniki hakuna mwenye pesa ya mawazo hio pesa ilikua unaongeza 50elfu unadaka simu kali zaidi kushinda hio poco f3, tulia mpwa mimi ndio kwa namna moja au ingine nimekushawishi iwe direct au indirect kutumia xiaomi kupitia uzi wangu pendwa
 
Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
45,525
2,000
Usipaniki hakuna mwenye pesa ya mawazo hio pesa ilikua unaongeza 50elfu unadaka simu kali zaidi kushinda hio poco f3, tulia mpwa mimi ndio kwa namna moja au ingine nimekushawishi iwe direct au indirect kutumia xiaomi kupitia uzi wangu pendwa
Hahahaha siwezi kupaniki Mpwa kwa 750,000 hahahaha. Hivi ulinishawishi eegh? Maana nakumbuka niliikuta Twitter hii simu na price, anyway isiwe kesi next time nitanunua hio jnayosema.
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
3,420
2,000
Hahahaha siwezi kupaniki Mpwa kwa 750,000 hahahaha. Hivi ulinishawishi eegh? Maana nakumbuka niliikuta Twitter hii simu na price, anyway isiwe kesi next time nitanunua hio jnayosema.
Pamoja karibu sasa na kwenye uzi wa xiaomi users tz pale telegram tukupe gcam na vitu vikali fanya kuseach Xiaomi users tz telegram utaion kisha join grupu hio
 
Ramon Abbas

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,996
2,000
Tuma imei number kwenda 15090 utapata majibu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Screenshot_20211202-203011.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom