Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,502
- 86,050
Wakuu,
Nilinunua simu Redmi Note 10 pro ila sidhani nasema sidhani kama hii ndio simu yenyewe.
Kama vile sijapenda Camera, battery ni 5,000Mah lakini haikai saana, camera ni 108px ila na yenyewe kama vile siielewi.
Sijawahi kutumia hii product na hii ndio mara ya kwanza. Nawezaje kuitumbua kama ni OG?