Nawezaje kubadilika?

Nawezaje kubadilika?

zamani nilikuwa kama wewe ila siku hizi nimekuwa mgwadu. kauzu kama dagaa. fanya yaliyo ndani ya uwezo wako daughter, ukijitoa sana kwa mtu ndio madhara yake hayo maumivu.
 
zamani nilikuwa kama wewe ila siku hizi nimekuwa mgwadu. kauzu kama dagaa. fanya yaliyo ndani ya uwezo wako daughter, ukijitoa sana kwa mtu ndio madhara yake hayo maumivu.

Kwa nini sikukufahamu ukiwa mtoto mzuri? Ningefaidi kweli
 
Pole, ni kwamba wema uliotenda ulikuwa wazidi uwezo wako...

Yani kwangu ni kama vile huo msemo haupo...wakati nipo chuo nlikuwa nagawa bum looote, kiasi kwamba sijui wiki itayofuatia nakula nini....
Mtu akiumwa hostel nitauguza kama me ndo nesi wa zamu, tena kwa gharama zangu...
Sasa ngoja majanga yanifike....simuoni shosti wala ndugu.....! Yani mpaka nabaki nalia tu....!
 
Kama msaada wako u ndani ya uwezo wako basi usivunjike moyo...

Labda unachoweza kufanya ni kupunguza tu namna ya msaada unaotoa...

Asante kwa ushauri daddito.. Ila huwa nasaidia kulingana na uwezo. Let say kama mtu anahitaji fedha ambazo ziko ndani ya uwezo wangu nitampa.

Iwapo anataka nimsaidie kazi flani ambayo naiweza nitafanya...
 
zamani nilikuwa kama wewe ila siku hizi nimekuwa mgwadu. kauzu kama dagaa. fanya yaliyo ndani ya uwezo wako daughter, ukijitoa sana kwa mtu ndio madhara yake hayo maumivu.
kauzu kama dagaa...lol

Kauzu
 
"Tenda wema nenda zako" lakini pia usisahau ya kwamba "Kamwe wema haupaswi kuzidi uwezo".
Aliyotoa hiyo phrase ya tenda wema nenda zako nampenda sana...........
Sijawahi jutia kutenda wema........ Ninafanya tena na tena hata kama hakuna shukrani
 
Mnhhh utawaharibu wenzio...ila watoaji wengi hubarikiwa sana sijui kwa nini?

Yap
Mara nyingi hujitoa kwa moyo mmoja napo Mungu huwazidishia...... haswa (nadhani) pale wanapojitoa kwa mtu mwenye tatizo haswa
 
Mnhhh utawaharibu wenzio...ila watoaji wengi hubarikiwa sana sijui kwa nini?
huwa nawaambia sana ndugu zangu haya maneno.......
wao kila siku kazi kukushangaa unavyobarikiwa, kukitokea mtu anahitaji msaada wao wanajiweka nyuma hata kama wana uwezo, sasa nawauliza "mtabarikiwaje na hamtaki kutoa"?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahaa..... wote mkiwa magaidi wengine msaada tutapata wapi usiwa@badili tabia jamani...

Unajua tatizo mtu unajitoa saaana kwenye majanga ya wenzio.... halafu siku yakikufika humuoni hata mmoja....
 
Pole sana aisee....
Mie nilikuwa nasaidia sana watu....najitoa kwenye jambo la mtu utadhani ni langu

Kuna kipindi nilupata shida nikawa nahitaji 200,000 tu kuongezea... kila nilomgusa alitoa sababu... nashukuru nilifanyikiwa kusolve ile ishu hata sijui niliisolvije...

Na matokeo menginge mengine nikaja gundua mie nikipata shida hawajitoi ila mie ndo nahangaikaaaaaaaaaaaaaaaa

hiyo ilinifanya nikapinguza hata idadi ya marafiki...
Na kabla sijamsaidia mtu najiuliza mara mbili....je nikipata tatizo hiyo mtu huwa anajitoa kiasi gani kwangu.......
Yaani ilinifanya nijifunze ubandidu.....

Yani kwangu ni kama vile huo msemo haupo...wakati nipo chuo nlikuwa nagawa bum looote, kiasi kwamba sijui wiki itayofuatia nakula nini....
Mtu akiumwa hostel nitauguza kama me ndo nesi wa zamu, tena kwa gharama zangu...
Sasa ngoja majanga yanifike....simuoni shosti wala ndugu.....! Yani mpaka nabaki nalia tu....!
 
huwa nawaambia sana ndugu zangu haya maneno.......
wao kila siku kazi kukushangaa unavyobarikiwa, kukitokea mtu anahitaji msaada wao wanajiweka nyuma hata kama wana uwezo, sasa nawauliza "mtabarikiwaje na hamtaki kutoa"?

Hata kukopesha watu ni baraka...uchoyo unapunguza sana baraka
 
Pole sana aisee....
Mie nilikuwa nasaidia sana watu....najitoa kwenye jambo la mtu utadhani ni langu

Kuna kipindi nilupata shida nikawa nahitaji 200,000 tu kuongezea... kila nilomgusa alitoa sababu... nashukuru nilifanyikiwa kusolve ile ishu hata sijui niliisolvije...

Na matokeo menginge mengine nikaja gundua mie nikipata shida hawajitoi ila mie ndo nahangaikaaaaaaaaaaaaaaaa

hiyo ilinifanya nikapinguza hata idadi ya marafiki...
Na kabla sijamsaidia mtu najiuliza mara mbili....je nikipata tatizo hiyo mtu huwa anajitoa kiasi gani kwangu.......
Yaani ilinifanya nijifunze ubandidu.....
Ndo maana nimemshauri aangalie tu aina ya watu wa kuwaweka Karibu....asiache kutoa...Wanawake bandidu nao watamu kitandani lol
 
Hata kukopesha watu ni baraka...uchoyo unapunguza sana baraka

Me nikikopesha ndo sirudishiwi....na vile ndo sijui kudai....
Nikikopesha huwa natia nia kama nimetoa sadaka....
 
Mnhhh utawaharibu wenzio...ila watoaji wengi hubarikiwa sana sijui kwa nini?

some how, lakini hili si kweli labda umtolee Mungu kwenye nyumba za ibada, binadamu wanaudhi sana.

mimi nimemuelewa vyema mleta mada na hii tabia imeshanigharimu sana nimefikia hata hatuwa ya kuwa gurentee wa watu kwenda kukopa mikopo isiyo na riba kwa makubaliano pesa isipolipwa deni linahamia kwangu.

watu hawako fair kabisa dunia hii tena mijitu mishenzi ya tabia ndio inayofanikiwa haraka hovyo kabisa.

kwakweli moyo wa kujitoa kama siku za nyuma nitakuwa nao kwenye special case tu na niguswe kweli kwa sababu mara nyingi shida zangu nimekuwa nikizimaliza mwenyewe.
 
Ndo ulivyoumbwa binamu hata usijaribu kuishi maisha ambayo hayakupi amani, kama mtu ana shida na moyo wako uko radhi kumsaidia kwa nini usimsaidie kama tatizo liko ndani ya uwezo wako?

We jiachie tu binamu kwa raha zako kwan inahuu, wakupishe, halafu mwenzio nina shida ngoja nikifuate pm

Binamu nimekaa PM nikaumwa na mbu wee mpaka sasa sijanywa hata chai nakusubiri...
 
Huwa wanatoa volumes na volumes za ushuhuda, eti marehemu alikuwa mtu mwema, msikivu, msaada mkubwa kwa watu wake, anaejitolea, mpenda watu, saaa chache kabla hawajakupeleka nyumba ya milele! Ndio walivo hao!

Niliwahi kumsaidia mshikaji, alikaa garage miaka miwili tangu amalize A - level, ame-despair, nilipambana kibinaadam akaingia univ, tukapambana tena, akapata student loan! Shukrani yake alikwenda kunizushia kwa yf, kuwa nachepuka na kabinti ka 1st yr, mimi nikiwa 3rd yr! Nashukuru mungu, huo mlima nilivuka salama, ila sina hamu nae!

Charming lady, wee endelea na moyo huo huo, mengine mwachie mungu! wakati wewe wema wako unakucost, kuna watu roho mbaya zao zinawacost more!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom