Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,244
- 12,772
Habari wakuu. Nafikiria kuanzisha dini. Sababu kubwa ni iwe kama kitega uchumi. Naombeni maoni yenu iwe ya namna gani iendane na nyakati za sasa.
Najua matakwa mawili matatu. Kitabu pathetic fallacy kinasema kuwa dini ni zao la binadamu kuogopa kufa na kujiona bora(egoism of specie). Sasa hii dini inatakiwa kumkweza binadamu, na zaidi sana kutoa majibu/matumaini juu ya kifo. Nafanikisha vipi hayo?
Pia inasemwa ili ifanikiwe inatakiwa kutisha na kuogopesha waumini wake dhidi ya kujitoa. Dini zote, uislamu, ukristo, umormon, scientology, hindu, buddha nk, zina hiki kipengele. Ni kazi sana kutoka. Nitafanikishaje hilo?
Naomba msaada na maoni mengine ya kujenga.