Mkuu huna haja ya kuangakia tafuta sehemu yenye wifi, au unga gb kama 2 kwenye simu yako share internet na ipad yako nenda kwenye settings-general- software update bonyeza hapo ita search itakwambia u-update click update utulie utachukua muda kama hata nusu saa au saa kutegemea na speed ya internet itadownload na kujiupadate automatically.Mambo vipi wadau,
Niko na ipad tajwa hapo juu softawre yake imekuwa outdated, naweza ku update? Na kama yes, let me know gharama yake
Niko zanzibar. Mwasiliano nichek pm
mauRT
ni original ipad, hio imebaki tu kopo la kuangalizia video,Mkuu huna haja ya kuangakia tafuta sehemu yenye wifi, au unga gb kama 2 kwenye simu yako share internet na ipad yako nenda kwenye settings-general- software update bonyeza hapo ita search itakwambia u-update click update utulie utachukua muda kama hata nusu saa au saa kutegemea na speed ya internet itadownload na kujiupadate automatically.
Kwisha kazi
Hii ishaacha kupokea updates?ni original ipad, hio imebaki tu kopo la kuangalizia video,
sijui mkuu walipo, naona ipad 1 ina grayD00rHii ishaacha kupokea updates?
Hivi whited00r waliushua wapi?