Nawezaje ku-handle hali ya kukosa msisimuko na mpenzi wangu

Ameichoka Mbususu ya mchumba wake huyo.Lakini ndio mambo yalivyo wanaume wengi huwatokea hayo.Sema Wadada wa JF pia mnajua hayo ila hamsemi....Ukiipiga sana papuchi ya mchumba wako uliyeizoea haya hutokea kikubwa msikutane kutane sana na bidada inatakiwa awe mbunifu lakini pia Usimlale kila siku
Upo sahihi
 
1.Unaweza kuwa sawa kiafya lakini shida ikawa saikolojia yako,Kama kuna kitu umekinai kwa mwenzi wako ni lazima uwe wazi kwake ni namna gani unapenda kumuona mke wako.
2.Usirudie tena kutoka nje ya mahusiano yenu.
3.Jipe muda kurudisha hisia zako kwa mwenzi wako.
4.Uwe mtu wa ibada, sometimes kuna spirits zina assignment ya kuharibu mahusiano.
5.Jaribu kumwangalia usoni mke wako kwa ukaribu,msogelee karibu zaidi then mwangalie kwa dakika chache usoni kwa utulivu kidogo kuna namna utajisikia na itakusaidia,ukisikia Kuna namna unapaswa kubadilika maeneo fulani fanya hivyo brother.
 
Hakuna refund lisilokuwa na ncha, Kuna muda maua hunawiri / huchanua na Kuna muda huchanika
 
Utamlaumu mwenzako kumbe na wewe una tatizo usimpende mtarajiwa wako kwa ajili ya sexy tu,mpende pia kwa ajili ya kufanya maisha. Huyo siyo malaya acha ufala mpende akupendae palilia penzi lako litamea vizuri.
Ndo umpe USHAUR Sasa apalilie vipi[emoji4]
 
Mtaani na ofsini nilionekana mwenye furaha, nilikua na hali ya juu ya self esteem and motivation, but now all are becoming dull and opeque.

Nikisoma hayo maelezo hapo juu, naona kama Tatizo linaweza kuwa tofauti na mitazamo ya wengi.
 
Sikuwahi kuwaza furaha ya penzi letu litazimika na giza kutanda. Hakuna tena Ile excitimate, sina tena lile vibe la kuonana nae, mazungumzo hayanipi tena furaha,na mbaya zaidi ata faragha mzuka umeisha, nizipolazimishwa kuchomeka ndo imetoka hiyo.

Wakati ule nilipandisha mzuka hata Kwa kusoma text zake, nilipokuta missed call Yake nilihaha kutaka kufahamu alitaka kunieleza nini, nilipita madukani kutafuta gift zinazowakosha warembo, kwenye game nilikua nachakata papuchi hadi mashine naiacha ilale ndani ya K usiku kucha. Mtaani na ofsini nilionekana mwenye furaha, nilikua na hali ya juu ya self esteem and motivation, but now all are becoming dull and opeque.

Nimejitahidi kujaribu ku recistate hii situation Kwa kubadili hobbies ila wapi, nimeanza kwenda church , napenda kusikiliza inspirational talk, na hata kupunguza outing na kubaki home muda mrefu. Haya yote sioni yakinirudishia msisimuko wa penzi langu.

Wakati flani nikajaribu ushauri niliopewa na mdada mmoja kuwa hiyo ni hali ya kawaida na itapita in meanwhile nibadirishe mboga. Nikajaribu kupita na warembo kama watatu hivi, licha ya my sex drive kuwa ilikua kubwaa na mechi za kibabe ambazo zote nilikua na score goli kuanzia 2 but in a long run nafsi ilikua inaniambia hayo sio maisha yako, hufananii kuwa mchepukaji, and above all is contradicting yo personal values and belives.

Nimebaki njiapanda. Wakuu karibuni Kwa ushauri. Maisha yanakosa radha , na my major hobby is feeling happy and loved.

The law of diminishing marginal utility states that all else equal, as consumption increases, the marginal utility derived from each additional unit declines.
 
Sikuwahi kuwaza furaha ya penzi letu litazimika na giza kutanda. Hakuna tena Ile excitimate, sina tena lile vibe la kuonana nae, mazungumzo hayanipi tena furaha,na mbaya zaidi ata faragha mzuka umeisha, nizipolazimishwa kuchomeka ndo imetoka hiyo.

Wakati ule nilipandisha mzuka hata Kwa kusoma text zake, nilipokuta missed call Yake nilihaha kutaka kufahamu alitaka kunieleza nini, nilipita madukani kutafuta gift zinazowakosha warembo, kwenye game nilikua nachakata papuchi hadi mashine naiacha ilale ndani ya K usiku kucha. Mtaani na ofsini nilionekana mwenye furaha, nilikua na hali ya juu ya self esteem and motivation, but now all are becoming dull and opeque.

Nimejitahidi kujaribu ku recistate hii situation Kwa kubadili hobbies ila wapi, nimeanza kwenda church , napenda kusikiliza inspirational talk, na hata kupunguza outing na kubaki home muda mrefu. Haya yote sioni yakinirudishia msisimuko wa penzi langu.

Wakati flani nikajaribu ushauri niliopewa na mdada mmoja kuwa hiyo ni hali ya kawaida na itapita in meanwhile nibadirishe mboga. Nikajaribu kupita na warembo kama watatu hivi, licha ya my sex drive kuwa ilikua kubwaa na mechi za kibabe ambazo zote nilikua na score goli kuanzia 2 but in a long run nafsi ilikua inaniambia hayo sio maisha yako, hufananii kuwa mchepukaji, and above all is contradicting yo personal values and belives.

Nimebaki njiapanda. Wakuu karibuni Kwa ushauri. Maisha yanakosa radha , na my major hobby is feeling happy and loved.
Mwanamke hata awe mzuri vipi ukishapiga tu uzuri wote unakuwa kept constant yaani uzuri unakuwa hauna effect kwako kuendelea kuwa naeà.

Kitachofanya uendelee kuwa nae Ni kitu kingine tu Sasa Kama hicho kitu kingine hakipo achananae tu.
 
Mtaani na ofsini nilionekana mwenye furaha, nilikua na hali ya juu ya self esteem and motivation, but now all are becoming dull and opeque.

Nikisoma hayo maelezo hapo juu, naona kama Tatizo linaweza kuwa tofauti na mitazamo ya wengi.
NDIO
 
Nje unachakata kwa sababu ya ugeni na sio vinginevyo. Lakini ukiwa na demu wa muda mrefu hutachakata ipasavyo. Hapo ni adrenalines zinakusukuma na sivingine
Kwani mkuu Kuna wakati adrenaline hormone Huwa hazihusiki kwenye tendo? What I know adrenaline is always is part of the game
 
Ameichoka Mbususu ya mchumba wake huyo.Lakini ndio mambo yalivyo wanaume wengi huwatokea hayo.Sema Wadada wa JF pia mnajua hayo ila hamsemi....Ukiipiga sana papuchi ya mchumba wako uliyeizoea haya hutokea kikubwa msikutane kutane sana na bidada inatakiwa awe mbunifu lakini pia Usimlale kila siku
Nitafuata ushauri
 
Mwanamke hata awe mzuri vipi ukishapiga tu uzuri wote unakuwa kept constant yaani uzuri unakuwa hauna effect kwako kuendelea kuwa naeà.

Kitachofanya uendelee kuwa nae Ni kitu kingine tu Sasa Kama hicho kitu kingine hakipo achananae tu.
So this is normal ?
 
Back
Top Bottom