Nawezaje ku-handle hali ya kukosa msisimuko na mpenzi wangu

Nawezaje ku-handle hali ya kukosa msisimuko na mpenzi wangu

Jaman nini kilikukuta?
Aaghh yaani makorokocho hata haya eleweki ,


Walinambia ni change email na psw,

Ila Kila nilipokuwa naweka email mpya na psw mpya ikawa inagoma nikaona isiwe kesi nikafungua hii
 
Ninyi sio marafiki mkae hata muongee story za simba na yanga? hata mbishane uCCM na uCHADEMA je? Love language yenu ni ipi au ilikua ipi?

Hamuwezi hata kupika pamoja mle mfurahi? kama sivyo achaneni mtatesana sana, kila mtu akatafute mwenzi wake mwingine.
 
Lazima kuna sababu maybe ana lugha mbaya towards you, au maybe amechepuka umejua au ana mtoto feeling zake zimehamia kwa mtoto. Tuambie sasa chanzo cha hyo hali ni nini?
 
Mwanamke hata awe mzuri vipi ukishapiga tu uzuri wote unakuwa kept constant yaani uzuri unakuwa hauna effect kwako kuendelea kuwa naeà.

Kitachofanya uendelee kuwa nae Ni kitu kingine tu Sasa Kama hicho kitu kingine hakipo achananae tu.
Uko sahihi!
Mchungaji Hananja alishasema[emoji28]
Kijana usioe shape,uzuri ...
Uzuri,shape,miguu ya bia etc, ni 90 days tu !
Baada ya hapo Kila kitu unaona kawaida!
 
Back
Top Bottom