Nawezaje ku-handle hali ya kukosa msisimuko na mpenzi wangu

Nawezaje ku-handle hali ya kukosa msisimuko na mpenzi wangu

Jiulize swali hili "Huwa unaingia kwenye mahusiano kwa msukumo gani"? Huwa unaingia kwa msukumo wa upendo(love) au kwa msukumo wa mapenzi(sex)?
Naingia kwa msukumo wa upendo, nakutana na mtu tukishakua na chemistry tunaanzisha mahusiano, tunakua vizuri sana kwa one to two months baada ya hapo naanza kujihisi nahitaji kua peke yangu, namchoka sitaki kumuona, tukisogea sogea 6 months ndio basi tena nashindwa kabisa.
 
Yawezekana tatizo lako ni la kimtazamo zaidi na kihisia zaidi. Unatakiwa ujifunze zaidi na ujue chanzo cha shida hiyo. Lakini naona ni tatizo linaloweza kuondoka kama utapewa ushauri na ujengewe mtazamo mpya.
 
Possible na shemeji yetu amepunguza manjonjo ya mapenzi I mean mautundu Kama ni hivyo, hebu jitahidi kutafuta wanasaikolojia wa mambo ya mapenzi nafikiri watawasaidia.
 
Sikuwahi kuwaza furaha ya penzi letu litazimika na giza kutanda. Hakuna tena Ile excitimate, sina tena lile vibe la kuonana nae, mazungumzo hayanipi tena furaha,na mbaya zaidi ata faragha mzuka umeisha, nizipolazimishwa kuchomeka ndo imetoka hiyo.

Wakati ule nilipandisha mzuka hata Kwa kusoma text zake, nilipokuta missed call Yake nilihaha kutaka kufahamu alitaka kunieleza nini, nilipita madukani kutafuta gift zinazowakosha warembo, kwenye game nilikua nachakata papuchi hadi mashine naiacha ilale ndani ya K usiku kucha. Mtaani na ofsini nilionekana mwenye furaha, nilikua na hali ya juu ya self esteem and motivation, but now all are becoming dull and opeque.

Nimejitahidi kujaribu ku recistate hii situation Kwa kubadili hobbies ila wapi, nimeanza kwenda church , napenda kusikiliza inspirational talk, na hata kupunguza outing na kubaki home muda mrefu. Haya yote sioni yakinirudishia msisimuko wa penzi langu.

Wakati flani nikajaribu ushauri niliopewa na mdada mmoja kuwa hiyo ni hali ya kawaida na itapita in meanwhile nibadirishe mboga. Nikajaribu kupita na warembo kama watatu hivi, licha ya my sex drive kuwa ilikua kubwaa na mechi za kibabe ambazo zote nilikua na score goli kuanzia 2 but in a long run nafsi ilikua inaniambia hayo sio maisha yako, hufananii kuwa mchepukaji, and above all is contradicting yo personal values and belives.

Nimebaki njiapanda. Wakuu karibuni Kwa ushauri. Maisha yanakosa radha , na my major hobby is feeling happy and loved.
Tafuta dem mzuri mrembo tafuta pisi kali
achana na hao kina Mwa4 na Mwaj
 
Hapa ndiyo unapokosea kuwa na mtazamo wa namna hii. Upendo(LOVE) na Mapenzi(Sex) ni vitu viwili tofauti ingawa vinakuwa na lengo moja. Mapenzi siyo upendo na upendo siyo mapenzi. Hizi ni hisia mbili tofauti zenye lengo moja. Ukiweza kutofautisha hivi vitu viwili basi utaweza kuondokana na tatizo lako.

Brother sex ndo kila kitu sex inaleta bond Kati yenu dem ata awe mkali namna gan kwenye game akiwa sio mtamu sio msafi aisee safar inaishia hapo ama ata man akiwa handsome vp na pesa anayo ila kwenye game akazingua Ahaa jua safar imeisha apo
 
Sikuwahi kuwaza furaha ya penzi letu litazimika na giza kutanda. Hakuna tena Ile excitimate, sina tena lile vibe la kuonana nae, mazungumzo hayanipi tena furaha,na mbaya zaidi ata faragha mzuka umeisha, nizipolazimishwa kuchomeka ndo imetoka hiyo.

Wakati ule nilipandisha mzuka hata Kwa kusoma text zake, nilipokuta missed call Yake nilihaha kutaka kufahamu alitaka kunieleza nini, nilipita madukani kutafuta gift zinazowakosha warembo, kwenye game nilikua nachakata papuchi hadi mashine naiacha ilale ndani ya K usiku kucha. Mtaani na ofsini nilionekana mwenye furaha, nilikua na hali ya juu ya self esteem and motivation, but now all are becoming dull and opeque.

Nimejitahidi kujaribu ku recistate hii situation Kwa kubadili hobbies ila wapi, nimeanza kwenda church , napenda kusikiliza inspirational talk, na hata kupunguza outing na kubaki home muda mrefu. Haya yote sioni yakinirudishia msisimuko wa penzi langu.

Wakati flani nikajaribu ushauri niliopewa na mdada mmoja kuwa hiyo ni hali ya kawaida na itapita in meanwhile nibadirishe mboga. Nikajaribu kupita na warembo kama watatu hivi, licha ya my sex drive kuwa ilikua kubwaa na mechi za kibabe ambazo zote nilikua na score goli kuanzia 2 but in a long run nafsi ilikua inaniambia hayo sio maisha yako, hufananii kuwa mchepukaji, and above all is contradicting yo personal values and belives.

Nimebaki njiapanda. Wakuu karibuni Kwa ushauri. Maisha yanakosa radha , na my major hobby is feeling happy and loved.
Sasa feeling happy and being loved unaitafuta sehemu sio. Wee kama unataka hiyo spend time na mama yako tuu basi. Ukiwa kwa bi mkubwa hapo u fewl real love. Hawa wanawake wengine kiukweli ni kwamba tunaweka ndani watulele watoto tuu lakini utamu wa mwanamke unaishi baada ya kumtomber mara tatu hence why kuna condom 3 kwenye packet.
 
Huwa inatokea kwa muda na kupita ila chamsingi piga metch za nje mbili tatu ndio utarefresh

USSR
Siamini kama ni uamuzi sahihi.

Weka interval between times. Amua piga kwa week mara moja au mbili, piga game mchana katika mazingira tulivu hapo home. Hakikisha siku ya game huna stress za kazi wala mwili kuchoka na kazi.

Kuleni chakula kizuri na cha kushiba kabla ya kuanza game.

Msisahau usafi wa mazingira ya vitendanishi.

Hakikisheni watoto wanaenda mbali matembezini wasijerudi haraka wakawasumbueni.

Chezeni sana uchi huko chumbani kabla ya kupandana.

Kama mtaamua kufanya usiku, hakikisheni taa haizimwi na kuna mwanga wa kutosha na isiwe mchana mmefanya kazi ngumu mkachoka.

Zaidi ya yote, fkra zako wakati wa faragha ziwe pale kwenye kale kaukurasa ka kwanza na jaribu kuvuta taswira kuhusisha moja ya siku zenu za loved games mlivyo enjoy. Itasaidia kuleta msisimko.

Nasisitiza utulivu wa akili zenu wakati wa faragha na simu zenu zizimwe au ku silent ili kuondoa mwingiliano wa tendo na milio ya simu.

Mpende mkeo katika hali yoyote uwayo nayo. Usijaribu kumchukia. Sema naye kuhusu hilo tatizo. Hakika hamtaliona tena.

Mkeo ni dawa iponyayo magonjwa yako mengi bila hata kwenda hospitali. MPE NAFASI AKUTIBU.
 
Brother sex ndo kila kitu sex inaleta bond Kati yenu dem ata awe mkali namna gan kwenye game akiwa sio mtamu sio msafi aisee safar inaishia hapo ama ata man akiwa handsome vp na pesa anayo ila kwenye game akazingua Ahaa jua safar imeisha apo
Sex siyo kila mkuu. Love ndiyo kila kitu mkuu. Ukimpenda mtu ndiyo itapelekea ufanye naye Sex na usipompenda mtu, hutaweza kufanya naye sex. Ingawa mahusiano yoyote ili yaweze kustahilimili kwa miaka mingi inabidi upendo uwe kwanza halafu na sex ifuate. Kikikosekana kimoja kati ya hivi upendo na sex basi hayo mahusiano hayataweza kufanya kazi. Kwa hiyo muhimu hapo ni upendo halafu upendo una ubalansi na mapenzi(sex).
 
Au Kuna taarifa mbaya kuhusu Mpenzi wako umezipata zimekuchosha na kufanya umkinahi?

Funguka hapa usaidiwe!
 
Zaidi ya sex it seems hamna jambo common la kushare kati yenu. Infatuation stage ishapita uhalisia umerudi. Ukishapiga tako mara kadhaa hata awe pisi kali vipi kihisia sio kma mwanzo ni kawaida. Swali ni, kuna chochote hata kimoja kinachokuvutia kwake zaidi ya utelezi?

Na yeye bibie vipi anarespond kama zamani?
Kama hamna then fanya maamuzi magumu ukomae kiakili upate maana ya nyinyi kuwepo nje ya sex au tupa taulo endelea na maisha mengine.

Angekuwa mke ni stori ingine tena, muda mwingine.
 
GAME OVER ...!! Mpira Ni dk 90 ... Extra minutes mbwembwe ... Penalty mapambo..

[emoji41][emoji41] In short ama ligi kachezee. Kwingine uwez ... Uza mchezaji Hana Tena kiwango sign mwingine...

Ni kweli straika uyo Ni Bora hila huna namna Hana Tena kiwango tulichotarajia .. kwa timu hafit na formation at all..[emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom