Nawezaje ku-handle hali ya kukosa msisimuko na mpenzi wangu

Nawezaje ku-handle hali ya kukosa msisimuko na mpenzi wangu

The law of diminishing marginal utility states that all else equal, as consumption increases, the marginal utility derived from each additional unit declines.
Noted with caution
 
Mtaani na ofsini nilionekana mwenye furaha, nilikua na hali ya juu ya self esteem and motivation, but now all are becoming dull and opeque.

Nikisoma hayo maelezo hapo juu, naona kama Tatizo linaweza kuwa tofauti na mitazamo ya wengi.
Ebu nisaidie kupata mwanga nje ya box
 
Tatizo Ni uyo uliyenae, amepoa sana
Mahusiano yenu hayana purukushani, yaan yamepoa Kama kojo la asbh.

Sometimes Mahusiano ili yanoge,
Yanahitaji mchaka mchaka,wivu,vurugu na matukioa kadhaa uumize kichwa ili yachangamke[emoji4]
Kumbe
 
1.Unaweza kuwa sawa kiafya lakini shida ikawa saikolojia yako,Kama kuna kitu umekinai kwa mwenzi wako ni lazima uwe wazi kwake ni namna gani unapenda kumuona mke wako.
2.Usirudie tena kutoka nje ya mahusiano yenu.
3.Jipe muda kurudisha hisia zako kwa mwenzi wako.
4.Uwe mtu wa ibada, sometimes kuna spirits zina assignment ya kuharibu mahusiano.
5.Jaribu kumwangalia usoni mke wako kwa ukaribu,msogelee karibu zaidi then mwangalie kwa dakika chache usoni kwa utulivu kidogo kuna namna utajisikia na itakusaidia,ukisikia Kuna namna unapaswa kubadilika maeneo fulani fanya hivyo brother.
Asante Kwa ushauri mkuu
 
Tunaita dormant stage and recreation of mind and soul!

Wakati unachakata sana mind ilikuwa active kwenye Hayo!Sasa mind inapumzika Baada ya heavy load!na ku recreate phase mpya ya uchakataji wa kikanuni!!

Màana boyhood uchakataji wake Hauna kanuni yaani wherever hata kama una taarifa ya kufiwa hujali unachakata tu!lakini Sasa boyhood inaondoka na adulthood inachomoza na utachakata KWA formula mpya na mikakati mipya !hutokuwa kama mwanzo Sasa sex inaenda kuwa uhitaji wa Muda husika na sio kama uraibu wa kustarehesha kama mwanzoni!!

Usipambane na Hali ikubali punguza matendo hasi yanayoweza kuibuka na kumtenda mwenzi wako!!

Weka utaratibu mpya wa kuchakata bao Moja KWA wiki Moja au tatu Mwezi mzima!Ili mfumo wa hisia na via vya uzazi vijiunde upya Baada ya kutumika Sana!!

Usisahau

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Ndo umpe USHAUR Sasa apalilie vipi[emoji4]
Aache kukutana naye mara kwa mara kimapenzi,aache michepuko mingine,awe na huruma kwa mwenzake,ampendezeshe mpenzi wake,atoke naye out pasipo kufanya mapenzi iwe kwa ajili ya pleasure,aache gubu na dharau kwa mpenzi wake.

Mara nyingi ukianza kumdharau mpenzi wako hata hisia zinapungua,mpe thamani mtu wako usisubiri hadi muachane ndo uone thamani yake.
 
Hiyo Hali Huwa inatokea Kwa binaadamu yeyote pale anapokuwa a kiu ya kumiliki kitu Ambacho Hana uwezo nacho Huwa anakuwa na morali na kiu ya kukipata kitu hicho

Ila inapotokea akafanikiwa kukimiliki baada ya muda huanza kuona kuwa kitu hicho ni kawaida sana ni kma kipo overated Huwa inatokea hivyo ktk mahusiano pia ,

Mpenzi wako inatakiwa awe anajitahidi kuwa na mbinu mbali mbali za kuku chochea kihisia sio anakua yupo yupo tu kapooza kama uji wa Jana
 
Back
Top Bottom