Nawezaje ku-handle hali ya kukosa msisimuko na mpenzi wangu

Nawezaje ku-handle hali ya kukosa msisimuko na mpenzi wangu

Yawezekana wewe ulikuwa unachakata hata siku mbili haziishi,
Kuweni na muda hata wiki moja au mbili bila kuchakata utammiss tu na usiache kutumia nyama ya kukaanga na kushiba kwa uhakika.
Mdudu?
 
Chanzo kikuu ni upungufu wa hormons. Kula vyakula vyenye protin nyingi na madini ya zinc itakusaidia. Lakini pia kama unaweza kufanya vacation with family shemu ngeni kabisa. Na ukiweza nenda mkachakate new places sio home
 
Love is unconditional.

Lust is a strong desire for sex, wengi huwa wanahisi wako in love kumbe ni lust tu inawazuzua. Ikiisha hio huoni umuhimu wa mtu tena.
For how long sex desure .. will qualify to be called infatuation , mine it has survived more than three years
 
Chanzo kikuu ni upungufu wa hormons. Kula vyakula vyenye protin nyingi na madini ya zinc itakusaidia. Lakini pia kama unaweza kufanya vacation with family shemu ngeni kabisa. Na ukiweza nenda mkachakate new places sio home
Sidhani kama nimefika huko, merch za nje nachakata kwa ubora sana , SEMA cheating lifestyle is contrary to my personal values.
 
Utamlaumu mwenzako kumbe na wewe una tatizo usimpende mtarajiwa wako kwa ajili ya sexy tu,mpende pia kwa ajili ya kufanya maisha. Huyo siyo malaya acha ufala mpende akupendae palilia penzi lako litamea vizuri.
Mkuu sijamulaumu mpenzi wangu , rudia kusoma. Changamoto iko kwangu , simfurahi tena na vibe limetoweka
 
Back
Top Bottom