Tunaita dormant stage and recreation of mind and soul!
Wakati unachakata sana mind ilikuwa active kwenye Hayo!Sasa mind inapumzika Baada ya heavy load!na ku recreate phase mpya ya uchakataji wa kikanuni!!
Màana boyhood uchakataji wake Hauna kanuni yaani wherever hata kama una taarifa ya kufiwa hujali unachakata tu!lakini Sasa boyhood inaondoka na adulthood inachomoza na utachakata KWA formula mpya na mikakati mipya !hutokuwa kama mwanzo Sasa sex inaenda kuwa uhitaji wa Muda husika na sio kama uraibu wa kustarehesha kama mwanzoni!!
Usipambane na Hali ikubali punguza matendo hasi yanayoweza kuibuka na kumtenda mwenzi wako!!
Weka utaratibu mpya wa kuchakata bao Moja KWA wiki Moja au tatu Mwezi mzima!Ili mfumo wa hisia na via vya uzazi vijiunde upya Baada ya kutumika Sana!!
Usisahau
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!