Nawezaje ku-handle hali ya kukosa msisimuko na mpenzi wangu

pureman2

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
1,494
2,537
Sikuwahi kuwaza furaha ya penzi letu litazimika na giza kutanda. Hakuna tena Ile excitimate, sina tena lile vibe la kuonana nae, mazungumzo hayanipi tena furaha,na mbaya zaidi ata faragha mzuka umeisha, nizipolazimishwa kuchomeka ndo imetoka hiyo.

Wakati ule nilipandisha mzuka hata Kwa kusoma text zake, nilipokuta missed call Yake nilihaha kutaka kufahamu alitaka kunieleza nini, nilipita madukani kutafuta gift zinazowakosha warembo, kwenye game nilikua nachakata papuchi hadi mashine naiacha ilale ndani ya K usiku kucha. Mtaani na ofsini nilionekana mwenye furaha, nilikua na hali ya juu ya self esteem and motivation, but now all are becoming dull and opeque.

Nimejitahidi kujaribu ku recistate hii situation Kwa kubadili hobbies ila wapi, nimeanza kwenda church , napenda kusikiliza inspirational talk, na hata kupunguza outing na kubaki home muda mrefu. Haya yote sioni yakinirudishia msisimuko wa penzi langu.

Wakati flani nikajaribu ushauri niliopewa na mdada mmoja kuwa hiyo ni hali ya kawaida na itapita in meanwhile nibadirishe mboga. Nikajaribu kupita na warembo kama watatu hivi, licha ya my sex drive kuwa ilikua kubwaa na mechi za kibabe ambazo zote nilikua na score goli kuanzia 2 but in a long run nafsi ilikua inaniambia hayo sio maisha yako, hufananii kuwa mchepukaji, and above all is contradicting yo personal values and belives.

Nimebaki njiapanda. Wakuu karibuni Kwa ushauri. Maisha yanakosa radha , na my major hobby is feeling happy and loved.
 
Back
Top Bottom