Sophoghani
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 395
- 616
Mkuu Ni ile wanaita a dream come true....endelea kuota mwisho utakojoa kitandani
Unakoelekea siko utajikuta unaelekezwa kibla.Kutokana na ugumu wa maisha na changamoto ya mabinti wa kisasa natamani sana nipate Mwanamke mwenye uwezo wake kipesa haijalishi ana umli gani isipokuwa asizidi miaka 40, simaanishi kwamba anihonge Pesa au Thamani yoyote isipokuwa naitaji nipate mapenzi ya kweli.
Natambua kwa sasa huwezi kuwa na mwanamke bila kuwa na pesa na mkakaa salama kwenye mahusiano. Sasa ni bora kuwa na mwanamke mwenye pesa zake ili aitaji mapenzi tu, kutoka kwangu
Kutokana na ugumu wa maisha na changamoto ya mabinti wa kisasa natamani sana nipate Mwanamke mwenye uwezo wake kipesa haijalishi ana umli gani isipokuwa asizidi miaka 40, simaanishi kwamba anihonge Pesa au Thamani yoyote isipokuwa naitaji nipate mapenzi ya kweli.
Natambua kwa sasa huwezi kuwa na mwanamke bila kuwa na pesa na mkakaa salama kwenye mahusiano. Sasa ni bora kuwa na mwanamke mwenye pesa zake ili aitaji mapenzi tu, kutoka kwangu
Amka usingizini wewe....mwanamke akuzidi pesa alafu useme uhongwi !?? Burazaaaaaaa...... !! Fanya Kazi mwanaume, wamejaa kibaowa saizi yakoKutokana na ugumu wa maisha na changamoto ya mabinti wa kisasa natamani sana nipate Mwanamke mwenye uwezo wake kipesa haijalishi ana umli gani isipokuwa asizidi miaka 40, simaanishi kwamba anihonge Pesa au Thamani yoyote isipokuwa naitaji nipate mapenzi ya kweli.
Natambua kwa sasa huwezi kuwa na mwanamke bila kuwa na pesa na mkakaa salama kwenye mahusiano. Sasa ni bora kuwa na mwanamke mwenye pesa zake ili aitaji mapenzi tu, kutoka kwangu
hata sabuni ni ya kununua sio bure. usimdanganye mwenzio.sabuni
Yaani umeongea ukweli best unawaza kuvumilia kipindi yuko Zero akipata wanaenda kutumia wengine nani ataweza ujinga huo ilikuwa zamani.Me nakushauri uoe ili muishi kwenye shida na raha ........ila habari za kupatishana dhambi mwisho hatuoani halafu na pesa huna huo ujinga mwisho 2001
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ndioYaani umeongea ukweli best unawaza kuvumilia kipindi yuko Zero akipata wanaenda kutumia wengine nani ataweza ujinga huo ilikuwa zamani.